win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,848
- 30,010
vyote vyote ila nipo kwenye mchakato 😆😆😆😆Mchakato wa nyokwe🤣
vyote vyote ila nipo kwenye mchakato 😆😆😆😆Mchakato wa nyokwe🤣
Badilisha jina hili jina lina sounds kiumevyote vyote ila nipo kwenye mchakato 😆😆😆😆
Maweeeeeeeeeeh 🙆♀️, jamani imekuwaje tena nikakosa kuliona likaka lihandsamu 😍Maka 😍😍😻
Binti wa zamani we mshangazi unapitwa huku, hivi Maka umemuona?
Yani vile vitu vyenye tunavipenda wadada Maka anavyo sasa full package ohhh 😻😻
Limaka lizuri nyie 😋😋
Halafu lina rangi nzuri sio white sio black yani rangi imeni turn on..!! 🥰
sawa min nichagulie jina la,kike basiBadilisha jina hili jina lina sounds kiume
Toto misambwanda🤣🤣sawa min nichagulie jina la,kike basi
Nimefika Mangi, naona nimepitwa.Mama la mama umekuja kumbe😅
astagfulilah hili hapanaToto misambwanda🤣🤣
Hivi hujui kwamba online interactions inaweza kupelekea mtu akampenda mtu mwingine? kunakuwa na deep emotional connection...Na wewe unaamini anapata kisukari kwa mtu ambaye hajawahi kumuona?
Kumbe wewe kuibiwa ni sekunde 0
Mhmmm kaoneastagfulilah hili hapana
😍 😍 huyo ni wewe kabisa, hako kamwili na mitupio yako nimeshaikakariri.ephen_ Anadai sio mimi na nina badilika kama kinyonga😅
bonge la dada...sawa min nichagulie jina la,kike basi
Kaka tuanze kunywa BIABadilisha jina hili jina lina sounds kiume
Ndugu yangu pole sana..!!Maweeeeeeeeeeh 🙆♀️, jamani imekuwaje tena nikakosa kuliona likaka lihandsamu 😍
makaveli10 , makaveli10 , makaveli10 - nimekuita mara tatu, hebu niwekee hicho kitu 📸 roho ifurahi 😂😂😅
bonge la dada anatakiwa awe amefungasha nyuma, sasa mimi ni afu lela ulela🤣🤣🤣🤣bonge la dada...
Mwana kwetu, nimesikitika sana, daaaah 😂!Ndugu yangu pole sana..!!
Maka katuma pic mara mbili hapa, ila ya pili ile ya kiutu uzima yenyewe mwana kwetu naam 😍😍😍
Ile sura na ule uchebe akikukiss lazima uloe 🤣🤣
Lamo mtoto mzuri😋😋😋😋Kaa nayo tu uifungulie na masijala uitunze..!! 😹😹😹
Shauri yako...Unajitungia maneno, hajasema ananipenda.
😹😹😹Mwana kwetu, nimesikitika sana, daaaah 😂!
Hapo kwenye kuloa sasaa 🙈 hamna namna inabidi 📸 irudiwe tu.
makaveli10 hebu njoo buanaaa!