Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,918
Sema bana, kwanza nishaona fursa huko nitumie invitation basi nije..!!Nikisema mambo yangu kesho nitaomba msamaha kwamba nimelewa acha niache tu🤣
We nikusanyie mitumba mi mkinga nije kuifata niuze bongo huku..!! 😹😹😹
Ujue wakinga kwa kuchungulia fursa tuko vizuri min 😀