Selfika na JF: Snap it. Show it

Sorry naweza kutengeneza gif ya pilau na kachumbari?
just asking... Halafu niiweke kwenye motion picture ya fast and furious?
 
eti down to the earth,, hata mie nikilewa nakuwa sina aibu kabisa huwa naongea vibaya hovyo lakini uzuri ni kwamba nikirudi kuwa sober huwa nakumbuka yote niliyoyaongea..
Haha unaropokwa au sio...dah me siongeagi, cha zaidi nitageuka Shakira kama sio Ray C 😂😂😂 afu usingizi + ...... If u know u know 💃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…