cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,999
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekeshaa nyie watuu, akhiiiii.Mkuu na huyo Coca tumuone kama yaliyomo yamo 😀 😀 😀
Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekeshaa nyie watuu, akhiiiii.Mkuu na huyo Coca tumuone kama yaliyomo yamo 😀 😀 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeee tupuuu.JF is all about being fake!!
Sijajua picha anazodai ni fake zina madhara gani kwenye maisha yake ya kila siku [emoji1787] ila JF!!
Sasa huyu anayeteseka na picha kazi anayo...IT jobless
Shida inaanzia kwa wanaomjaza aweke vitu na yeye huko alipo anajiona 'star' of the match! SMH
Watu wanamuenjoy kwa ujinga wake bila yeye kujua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni wa kumpuuza,yani hata kum-quote tu ni kushusha brandiii [emoji2]
Dawa yake ni unamuacha tu anajitekenya weeee akiishiwa bando anaenda kutuliza matacco
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ni wapiiii?Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeee
My country pipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Haya
Za Toka juzi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mje tutembee mjini
Imekuaje😄😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ni wapiiii?
Wee moder naomba nije kutazamaa mpira hapo kwako!! [emoji23][emoji23][emoji23]Msichafue na kuchafuana sasa, yeyote atakayekwenda na kinyume na Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala atakuwa amejiondoa kabisa kwenye hii thread.
Tuangalie mpira sasa huku tukichat chatika kwa raha.
View attachment 3030782
Hatareeee shogaa akee, yaan Selfika ni full heka heka na njegekaaaa!!!Imekuaje[emoji1][emoji1]
😹😹😹Hatareeee shogaa akee, yaan Selfika ni full heka heka na njegekaaaa!!!
Wee huogopiiii? Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si nliskia wanajamii wanalalamika huu uzi haupo tena?Hatareeee shogaa akee, yaan Selfika ni full heka heka na njegekaaaa!!!
Wee huogopiiii? Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noumaaaaah!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81]
Niliomba mie urudishweee!! Jamani bila huu uzi mie naona JF km jelaa, siwezii kabisaa yaan.Si nliskia wanajamii wanalalamika huu uzi haupo tena?
Doooh😂Noumaaaaah!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umewaweza😍😍😍Niliomba mie urudishweee!! Jamani bila huu uzi mie naona JF km jelaa, siwezii kabisaa yaan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndio Mbeya mjini penyewe Coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ni wapiiii?
Mkuu ingependeza hapo chini ya tv kukawa na ps5Msichafue na kuchafuana sasa, yeyote atakayekwenda na kinyume na Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala atakuwa amejiondoa kabisa kwenye hii thread.
Tuangalie mpira sasa huku tukichat chatika kwa raha.
View attachment 3030782
Wee huachagi tyuuh kukaa mbelee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndio Mbeya mjini penyewe Coca
Afadhari wamerudishaaa!! Sahivi niko full burudaniiiii!!!Umewaweza[emoji7][emoji7][emoji7]
Huu uzi una misuko suko sana, mapito uliopita huu uzi ungekuwa ni binadamu ungeomba kupumzika kwa amani.Msichafue na kuchafuana sasa, yeyote atakayekwenda na kinyume na Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala atakuwa amejiondoa kabisa kwenye hii thread.
Tuangalie mpira sasa huku tukichat chatika kwa raha.
View attachment 3030782
Tupia bas😂😂😂Afadhari wamerudishaaa!! Sahivi niko full burudaniiiii!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado badoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupia bas[emoji23][emoji23][emoji23]