Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

afu mie nabebishana na boss hapa majukwaani, handsome boe anapiga kimya kimyaa!! Mie ntakuja kufa mwili unatetema km jenerata bovu LA kingimax. Khaaaah.

Ex zanguu mrudii selfikaa, mamsapuu wenuu nawahitajii hapaa.
🤣🤣🤣🤣 Ujue we mwehu uduguu.!!
Shem akipita hapa atakumind. Ila huyo handsome naye kakuteka
 
Jamani kariri skin tone hio, kariri kila kitu kuna maangamizi yanakuja...
Usilete ugomvi na mtu humfahamu, am IT by professionl...
naweza fanya tukio humu hadi TCRA waingilie kati...
Mkuu tupo pamoja, leo haikuwa siku yangu ya kuingia humu ila hakuna namna. Shusha vitu mkuu au subiri kwanza nikatulie bar nishushie na bia
 
Ila kama ni Lamomy shepu yes, sura ya mshua rangi kidogo inabeba. Anyway anafaa kwa matumizi
Anajichosha huyo analeta picha hata sizielewi alikozitoa, yeye kunijua mimi atasubiri sana.!!
Ulimwengu wa fake ids anaforce kufahamiana na watu. 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom