Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

JF is all about being fake!!
Sijajua picha anazodai ni fake zina madhara gani kwenye maisha yake ya kila siku ila JF!!

Sasa huyu anayeteseka na picha kazi anayo...IT jobless

Shida inaanzia kwa wanaomjaza aweke vitu na yeye huko alipo anajiona 'star' of the match! SMH
Watu wanamuenjoy kwa ujinga wake bila yeye kujua
hatareeeee tupuuu.
 

Attachments

  • IMG_20240628_151732_900.jpg
    IMG_20240628_151732_900.jpg
    2.8 MB · Views: 8
  • IMG_20240628_151637_147.jpg
    IMG_20240628_151637_147.jpg
    2 MB · Views: 8
Back
Top Bottom