Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,234
Picha unanipa lini sasa?Nakumbuka sana! Hiyo picha wapi? Nimepapenda.
Picha unanipa lini sasa?Nakumbuka sana! Hiyo picha wapi? Nimepapenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee hundred una heka heka wallah, niliye mchokoza huyo nani? Na akati uzi ulifungwa kisa wee mbambamba zako, LolWewe na mwenzako ndio mlisababisha uzi ukafungwa.
Acheni vurugu na kusema watu.
Na kuja kutazama mpira je? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha yangu hapana kwakweli
what happened to you[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 3031677
Nothing else, just memes only! But truth.what happened to you
Hapa ni wapiii gran bah, km napafananishaa vilee.View attachment 3031674
Nakumbuka Mwaka 47 ilikuwa gari zinasimama zote wakikuona Mzee unavuka barabara, Siku hizi unatakiwa kuwa na mbio za Farasi kuweza kuvuka [emoji119]
Hello Tuesday [emoji1635]
Unapafananisha na wapi Mjukuu?Hapa ni wapiii gran bah, km napafananishaa vilee.
Yess nilitaka hii mbona km Moro road, afu maeneo ya Mbezi.Unapafananisha na wapi Mjukuu?
Ni barabara ya Morogoro, maeneo ya Mbezi Kwa Yusuph
do anyone is nyamnyam your heart...?Nothing else, just memes only! But truth.
Mxxxxiieeeew!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]do anyone is nyamnyam your heart...?
wanna help you coz it seems like somebody from satan has nyamnyam your heart!Mxxxxiieeeew!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee K em tokaa hapaa!! Ni memes tyuuh ilee.wanna help you coz it seems like somebody from satan has nyamnyam your heart!