Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,230
Alikimbia, naona anatuma wapambe.
iPhone ipo ila mpk tung’oe magugu picha zitoke clear full HD
🤣🤣🤣🤣 tunayoooooooo!!Jamani iphone tunayo hatuna?
😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Kiutani tu🤣🤣🤣🤣 tunayoooooooo!!
Ila inataka mazingira safi
😂😂😂😂 Nkamu ngoja nipumzike wenzio tuna mgomo, sijui kesho tunaamka na lipi?? Na nimetoka kushusha mzigo juzi hata sielewiKiutani tu
Shangazi anatuacha kwenye tecno
Relax... shangai yupi huyo, unajua sielewi?Mwamba au kidampa aliyeamua kuvuliwa ubingwa na kukubali kutumika kwa mambo ya ujinga na mtu mwenye pori km la Amazon
Chalamila anasema atawatafutia walinzi walinde😂😂😂😂 Nkamu ngoja nipumzike wenzio tuna mgomo, sijui kesho tunaamka na lipi?? Na nimetoka kushusha mzigo juzi hata sielewi
Labda umetoka kuny@...😂😂😂😂 Nkamu ngoja nipumzike wenzio tuna mgomo, sijui kesho tunaamka na lipi?? Na nimetoka kushusha mzigo juzi hata sielewi
Nauliza niendelee na dozi ama niache?Nilale au ugomvi upo
Endelea aisee nina nusu saa ya kuwa online fanya chapu shusha mizigo chapuNauliza niendelee na dozi ama niache?
Nitaku tag mkuu, yajayo yanafurahisha...Endelea aisee nina nusu saa ya kuwa online fanya chapu shusha mizigo chapu
Sasa siuachie hzo missile dahh ujue nipo guest aiseeHuna jipya, umebakiza two words, shangazi na uchoko...
Mi najulikana hapa, wote wanafahamu napinga LGBT...
Huyo shangazi si umtaje?
Aisee usinipotezee muda, we subiri adhabu yako...
Mimi sitaku kupigizana kelele, mi naachia missiles tu, dhumuni lako uzi ufungwe...
Mi hata uzi ukifungwa sikuachi... hadi ukubali na uniombe msamaha..
Sshv mpka kupambazukeNitaku tag mkuu, yajayo yanafurahisha...
Mkuu we unaona hio missiles moja tu, jamaa amepata pressure anachat haraka kama robot...Sasa siuachie hzo missile dahh ujue nipo guest aisee
Selfika nione basi 😊👁️👃🏽👁️
Selfika nione basi 😊