Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo ni hivi vichoko anavyoviendekeza. Sijui yupo wapi nimpige za uso, alikuja na jina gani sijui nikawa sijamgundua
Anawalipa ili kumsaidia, mwenyewe anaogopa kuingia front. Mshahara wenyewe wa kuunga unga hafu anaugawanya kwa mashoga wajinga ili wamtetee.!!
 
Mzee mimi nina pesa, maisha ninayoishi ni ndoto kwako...
relax mzee, haka kamchezo hakahitaji hasira...

Usinipotezee time, am out for smoking kidogo.... leo nime enjoy sana..
Mimi pesa sina na nimekuambia toka mchana, mm ni TAPELI na kubet.
Wewe pesa unayo sababu unauza masega
Dogo muda mrefu nilikua nataka nikusanue achana na wale wajinga ushajichoresha Ila ndio kwanza unaongeza kampani
 
Mimi nijitetee humu? Ww ndo maana nasema ulikua hujanijua, na mm nilikua Sina time na ww. Ila ungenijua usingepata hii tabu
Naapa kama nasema uongo nife kesho, we jamaa umeweka picha za ku download nyingi sana... mi nitakua naachia moja baada ya nyingine...
 
Anawalipa ili kumsaidia, mwenyewe anaogopa kuingia front. Mshahara wenyewe wa kuunga unga hafu anaugawanya kwa mashoga wajinga ili wamtetee.!!
Wewe umeshindwa kupambana na mimi, huyo unayemsema ni nani? hebu funguka hapa...
 
Mimi pesa sina na nimekuambia toka mchana, mm ni TAPELI na kubet.
Wewe pesa unayo sababu unauza masega
Dogo muda mrefu nilikua nataka nikusanue achana na wale wajinga ushajichoresha Ila ndio kwanza unaongeza kampani
Huna pesa kweli we chok0, we masikini usinipotezee muda... na picha zako za ku download ku pretend maisha, you think you are too smart haaaahh!!?

Bado sana...
 
IMG_7561.JPEG
 
Pesa ninazo...
nije ni deal na hawa chokoraa humu... n kupoteza muda

Tena we ningekuona, nakushoot hata mguuni tu...

Ms3ng3..

Siku njema...
 
Pesa ninazo...
nije ni deal na hawa chokoraa humu... n kupoteza muda

Tena we ningekuona, nakushoot hata mguuni tu...

Ms3ng3..

Siku njema...
Nani kakataa pesa huna? Mbona unarudia rudia sana
Ila tabu unayopata unaijua, wanakukwangua masega. Yule jamaa humu alikuharibia kabisa aisee
 
Back
Top Bottom