Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
😂😂Pombe na betting, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3020620
anakua kajitakia
😂😂Pombe na betting, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3020620
😂😂😂😂Hahaha.......poleni Mkuu, bora wengine tumezeeka tu 🙌 😜
Mi na michezo ya wavuta ndumu wapi na wapi??Unaiweza au kiuno ndo vle tena
Utaenda kwa bibi wa bk babu 🤣We Mjukuu acha kunigombanisha na Bibi yako, hivi na hili baridi Bibi yenu akikasirika na kuhama Kitanda si litaniua Babu yenu 😜
Kuweni na huruma na Wazee 🤗
Mbususu mbususus mbsususuPombe na betting, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3020620
Mie vyote sinaSura!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3020628
Ok sana kumbe mnataka bao nyingi eehKwanza nakutoa ndukii hapo hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuchamba na maneno mapya mapyaa, woiiiiihView attachment 3020624
🙌🙌🙌NdumuMi na michezo ya wavuta ndumu wapi na wapi??
Aisee kwani ukiuliza shida iko wapiNi kosa la kiufundi kabisaa, na inabidi arudishwe jandoni kusukwa upyaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3020586
uliifanya wrong, hakuna diet inayofanywa properly na isifanye kaziNilifanya diet lakini nilizidi tu kunenepa nimeamua nile ninavyojisikia
Sawa mkuu! Hongera kua kwa kua na mwili mzuriProbably
uliifanya wrong, hakuna diet inayofanywa properly na isifanye kazi
lisiwahi rudi kwakwelUvivu huo! Kemea hilo pepo
Mkuu sina mwili mzuri i was fat😂 but diet and exercise ndio zimenifikisha hapa , ila diet haihusishi kutokula kabisa ila kutokula chakula chochote chenye wanga aka sukari, nnakuhakikishia 3 months unaona changes, plus kutembea km 5 kila siku, usipopungua niite tapeli😌Sawa mkuu! Hongera kua kwa kua na mwili mzuri
Kwa hali ya hewa hii Leo tena utalala mapemalisiwahi rudi kwakwel
Kuna kipindi nilijaribu kubadili vyakula lakini nikagundua sishibi na ninatumia hela nyingiMkuu sina mwili mzuri i was fat😂 but diet and exercise ndio zimenifikisha hapa , ila diet haihusishi kutokula kabisa ila kutokula chakula chochote chenye wanga aka sukari, nnakuhakikishia 3 months unaona changes, plus kutembea km 5 kila siku, usipopungua niite tapeli😌
Sina hata kimoja 🤨Sura!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3020628
Kwakweli mganga wako sio tapeli babu 😆Hongera kurudi salama Mjukuu, hata hivyo tushukuru zile dawa zetu za asili kufanya kazi ,maana bila hivyo ulikuwa unahamia huko huko Dubai, yaani unakaa Dubai miaka 10 yote bila kuja kutusalimia Wazee wako 😜