Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We Mjukuu acha kunigombanisha na Bibi yako, hivi na hili baridi Bibi yenu akikasirika na kuhama Kitanda si litaniua Babu yenu ๐Ÿ˜œ

Kuweni na huruma na Wazee ๐Ÿค—
Utaenda kwa bibi wa bk babu ๐Ÿคฃ
 
Sawa mkuu! Hongera kua kwa kua na mwili mzuri
Mkuu sina mwili mzuri i was fat๐Ÿ˜‚ but diet and exercise ndio zimenifikisha hapa , ila diet haihusishi kutokula kabisa ila kutokula chakula chochote chenye wanga aka sukari, nnakuhakikishia 3 months unaona changes, plus kutembea km 5 kila siku, usipopungua niite tapeli๐Ÿ˜Œ
 
Kuna kipindi nilijaribu kubadili vyakula lakini nikagundua sishibi na ninatumia hela nyingi
Asubuhi 1/2 ya maziwa nikila yenyewe sishibi hapo lazima nishindilie na mihogo

Mchana nile samaki na mboga hapana lazima nishushie na ugali au ndizi ndo nitajisikia good kidogo usiku najitahidi
 
Hongera kurudi salama Mjukuu, hata hivyo tushukuru zile dawa zetu za asili kufanya kazi ,maana bila hivyo ulikuwa unahamia huko huko Dubai, yaani unakaa Dubai miaka 10 yote bila kuja kutusalimia Wazee wako ๐Ÿ˜œ
Kwakweli mganga wako sio tapeli babu ๐Ÿ˜†
 
Back
Top Bottom