😂😂😂 mpare bahili huyoWe naye umezidi uzembe...tumia pesa si unaona mtoto mkali huyo
Unajua ukiweza vumilia njaa na kutaka kula wanga ndani ya siku nne za mwanzo, umetoboa maisha 👍Kuna kipindi nilijaribu kubadili vyakula lakini nikagundua sishibi na ninatumia hela nyingi
Asubuhi 1/2 ya maziwa nikila yenyewe sishibi hapo lazima nishindilie na mihogo
Mchana nile samaki na mboga hapana lazima nishushie na ugali au ndizi ndo nitajisikia good kidogo usiku najitahidi
vipi na huko hakuna juaKwa hali ya hewa hii Leo tena utalala mapema
Fanya simple diet, mchana kutwa shindilia Ila usile usiku.....Kuna kipindi nilijaribu kubadili vyakula lakini nikagundua sishibi na ninatumia hela nyingi
Asubuhi 1/2 ya maziwa nikila yenyewe sishibi hapo lazima nishindilie na mihogo
Mchana nile samaki na mboga hapana lazima nishushie na ugali au ndizi ndo nitajisikia good kidogo usiku najitahidi
Sema kweliii?Sina hata kimoja![]()
Mwenyejiii mie sishibi, au kipo kingineee.Joannah njoo tuendelee kupingana na yule Daktari asietaka tule!View attachment 3020671
Dah nimelia sana 😭Huyo tapeli nampeleka wapi mimi 😂😂
Nipo kwenye penzi jipya shauri yako bff 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Huku mvua kbs sema saivi ni rasha rasha tu zinapigavipi na huko hakuna jua
Nisaidie Kama unazo