Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,950
Na kiko tumekununulia kipya babu 😀Thanks Kwa mwaliko Mjukuu, Wacha nipige pass Kanzu yangu tayari Kwa safari 🤗
Na kiko tumekununulia kipya babu 😀Thanks Kwa mwaliko Mjukuu, Wacha nipige pass Kanzu yangu tayari Kwa safari 🤗
Nimefanyaje Mjukuu 🤗?Babu babu 😆
Uongo ndio hapana, gombaneni wenyewe nisihusishweNiachie kwanza huyo mmeo hana marinda, unamuonea huruma?
Chino itakuwa minuso ya shughuli unaipenda sana 🤣🤣🤣🤣Hahaha
Chakula Cha shughuli kina Raha yake ujue
Hana chochote, mi si naona tu mara nyingi hapa mnatuma picha za ku download, As an IT professional zile picha nilikua naziona zote, halafu nakausha tu kwa sababu mi mstaarabu... hii najua inakupiga.. lakini ndio ukweli..We jamaa muongo khaaa!! 😂😂😂
Huyo pesa anazo mbwa haruki na Valentine’s Day alinipa bonge la zawadi. Sema ni vile shetani hapendi kuona wawili wakipendana
My Wii njoo kesho Leo sipo home kipenz karibu sanaWifi hunanipa mwaliko uchoyo huo?
Halafu usikute hii ni ID moja kwa maana hizi couple za ja ni noma unakuta unajiuliza na kujijibu mwenyewe, toka nilipoona unatuma picha za ku downoad nikajua tu hapa kazi ipo, halafu kuna picha nnayo sijui niweke hapa...Uongo ndio hapana, gombaneni wenyewe nisihusishwe
Hata mm nimeona ulivoumia🤣🤣🤣🤣Shukrani sana
Nipo mbali kiasi nimelikosa la leo nimeumia sio kidogo
Nimeumia sana ujue.
Huo ni uongo labda km unataka kutafuta sifa za kijinga. Narudia tena usiniingize kwenye majibizano yenu.Hana chochote, mi si naona tu mara nyingi hapa mnatuma picha za ku download, As an IT professional zile picha nilikua naziona zote, halafu nakausha tu kwa sababu mi mstaarabu... hii najua inakupiga.. lakini ndio ukweli..
Wifi uchoyo umeanza lini?? 😂😂😂My Wii njoo kesho Leo sipo home kipenz karibu sana
Mfyuuu
Kwanza hujanimalizia ule mwingine unaukwepesha mwenyewe



em kuwa mpoleeee😀😀😀Wifi uchoyo umeanza lini?? 😂😂😂
We ngadu ntakupasua
Ila uduguu acha uchokozi bana leo idd



Leo siku ya kuchinja, means kifo.Hivi we unataka nini?Huo ni uongo labda km unataka kutafuta sifa za kijinga. Narudia tena usiniingize kwenye majibizano yenu.
Jambo linalonihusu huwa nalijibu, hiyo kukausha kwangu haipo ni utaratibu tu ambao nimeuweka
Wanaume hatuna hayo mambo? Sawa, lakini kwanza mm naamini vipi kama ww ni mwanaume?
Naonekana chenga kwa nani? Kwako au kwa nani?





Kazi unayo kumbe huwa unasave picha zinazotumwa za watu?!! Haya unazifanyia Kazi gani?? Kumbe ww kidampa km coca alivyosema?!! Pole sana kumbe picha zinakutesa kiasi hicho??Halafu usikute hii ni ID moja kwa maana hizi couple za ja ni noma unakuta unajiuliza na kujijibu mwenyewe, toka nilipoona unatuma picha za ku downoad nikajua tu hapa kazi ipo, halafu kuna picha nnayo sijui niweke hapa...
Mjukuu lazima nikuongeze yale mashamba ya urithi, unajua sana kunipatia Babu yako 🤗Na kiko tumekununulia kipya babu 😀