Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,547
- 22,982
kwamba namimi natisha sioππππ ndio vizuri mtishane
kwamba namimi natisha sioππππ ndio vizuri mtishane
Jana nilijitolea kuwa mpishi, nikabanwa ila ilikuwa nije kabisa. Tuombe uzima, ijayo naja...Eid iliisha salama, salmini ni vile mwaliko uliupokea.... Ikawaje?
Kwenye namba ileileNailipia wapi? Nataka niione picha mkwe
Sogea hapo Mpesa Kwa mangi, chaaap natuma mzigoKwenye namba ileile
Nakuaminia bossSogea hapo Mpesa Kwa mangi, chaaap natuma mzigo
Unipe nafasi nikuoneshe namna ya kucheza kingalelo π£π£Mc nipo hapa na burudani ni kunywa na kula nyama choma kwa kwenda mbele, huku tunapata burudani kutoka kwa weusi ππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Jina la wakala Ninani??Nakuaminia boss
Mi ntajuaje na we ndo umesema mtatishana na maisha yako πππkwamba namimi natisha sioπ
Inaitwa chugga danceUnipe nafasi nikuoneshe namna ya kucheza kingalelo π£π£
umesoma vizur au umekurupuka tu kama kojo la asubuh ππMi ntajuaje na we ndo umesema mtatishana na maisha yako πππ
Hapo ni ww na maisha yako mshaanza kutishana?? Mmeanza na mikojo sasa mnakondea mtapup π€£π€£π€£π€£umesoma vizur au umekurupuka tu kama kojo la asubuh ππ
unadegedege la macho wewe,, nmesema maisha yatanitisha sjasema tutatishanaπ€£π€£π€£Hapo ni ww na maisha yako mshaanza kutishana?? Mmeanza na mikojo sasa mnakondea mtapup π€£π€£π€£π€£
Sasa km maisha yako yanatisha unafikiri mwenyewe utakuwaje? πππunadegedege la macho wewe,, nmesema maisha yatanitisha sjasema tutatishanaπ€£π€£π€£
ππππ Woooiii muuza vijora weweSasa km maisha yako yanatisha unafikiri mwenyewe utakuwaje? πππ
Ndege wawili wanaofanana huruka pamoja
Nipo muuza vijora na kati ya migomigo na vingunguti πππππππ Woooiii muuza vijora wewe
niagizie kwenye sweet africa then niagize kwenye japanese viende kwenu uko π€£π€£π€£Nipo muuza vijora na kati ya migomigo na vingunguti πππ