Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,097
- 41,713
🤣🤣🤣🏃🏃🏃Nikajua tayari umeshanipenda
🤣🤣🤣🏃🏃🏃Nikajua tayari umeshanipenda
Kipi kikuchekeshacho mama mchunga?🤣🤣🤣🏃🏃🏃
Siwezi kujikataa jinsi nilivyo! Anayenichukulia poa hiyo ni juu yake uzuri sikosi mchumbaTuma picha yako bhna ,unajua kuna wana naona wanakuchukulia poa poa tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimeona pichayako nimecheka kichizi hahahahahaaaaaaaaaNikajua tayari umeshanipenda
Sasa naona nimeanza kuitwa mchumba najivunia kwa hilo kwa kweli😊😊😊Siwezi kujikataa jinsi nilivyo! Anayenichukulia poa hiyo ni juu yake uzuri sikosi mchumba
Maisha ni mafupi tufurahiii😂🤸🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimeona pichayako nimecheka kichizi hahahahahaaaaaaaaa
Jidanganye 😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimeona pichayako nimecheka kichizi hahahahahaaaaaaaaa
achakufakamia viporo utapasuka mwili🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siwezi kujikataa jinsi nilivyo! Anayenichukulia poa hiyo ni juu yake uzuri sikosi mchumba
mwashamba ataliweza hilozigo kweli🤣🤣🤣Maisha ni mafupi tufurahiii😂🤸
😂Na mwili wangu huo lakini juzi nilikua natembea na mchumba angu, nyuma kuna mzee akamwita mchumba angu akamwambia 'Aisee unakojolea pazurii'achakufakamia viporo utapasuka mwili🤣🤣🤣🤣🤣🤣
nijidanganye nanini mkuu?Jidanganye 😁
acha uongo kusimama kwenyewe hapo huwezi umeshikilia ukuta utaweza kutembea barabarani kweli?🤣🤣😂Na mwili wangu huo lakini juzi nilikua natembea na mchumba angu, nyuma kuna mzee akamwita mchumba angu akamwambia 'Aisee unakojolea pazurii'
Mchumba angu bichwa hilooo! We huogopii?🤸😂
😁nijidanganye nanini mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji23]
Acha nifurahi tu nipunguze mawazoKipi kikuchekeshacho mama mchunga?
Mrembooo wetuu, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Mawazo ya nini tena rafiki?Acha nifurahi tu nipunguze mawazo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiii khaaaah[emoji23]Na mwili wangu huo lakini juzi nilikua natembea na mchumba angu, nyuma kuna mzee akamwita mchumba angu akamwambia 'Aisee unakojolea pazurii'
Mchumba angu bichwa hilooo! We huogopii?[emoji1732][emoji23]
Haya ndio mambo sasa!Mrembooo wetuu, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Hiyo trauzaa nimeipendaaaa sanaa
Uko [emoji91][emoji91][emoji91]
Tangu nimzike mama yangu wiki 3 zilizopita siko vzr rafikiMawazo ya nini tena rafiki?