Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee hauko serious, ndo maana hata ulicheka kwenye comments ya picha.

Nweiiii nisameheee buree dear,
Nimekoma sirudiii tenaaa,!!! Nisamehe kweliii.
Mimi nipo serious siwezi kutia unyonge wakati nina umbo langu Mungu kanipa! Nina kila kitu kilichotimia nitie unyonge kwani mimi ni kipofu au kiwete!?
 
Usitake kufanya nipewe talaka ya Uzeeni na Bibi yenu, Mimi mwenyewe nilisoma kwenye Geography tu kuhusu hicho Kilimo Mjukuu 🤗
😂😂😂😂 babu elezea puliiizz, una kitu wewee
Ndiomana kina bibi humu wanagongana vipepsi kumbe kilimo cha umwagiliaji kingi 🤣
 
Mimi nipo serious siwezi kutia unyonge wakati nina umbo langu Mungu kanipa! Nina kila kitu kilichotimia nitie unyonge kwani mimi ni kipofu au kiwete!?
dear!!! Ila hapo unaonekana km mkubwa kumbe mtoto.
Sema hongera kwa kupewa mwili wa ki boss, ubarikiwe.
 
Sumo ndio nini
Ni aina ya michezo huko japani ya mapigano.
1718724817160.jpg
wapiganaji wao wapo hivyo.
 
Ila babu kwa huo mkono wako kwa ishu ya wewe ni babu huwa unatupiga😁😁😁
Mkuu mara nyingi humu huwa naweka picha ya miaka ya 47 enzi hizo nikiwa Kijana Kijana

Hata hiyo nilipiga Mwaka 47 miaka 2 baada ya azimio la Arusha 🤗

Kuweni na imani na Wazee 😜
 
😂😂😂😂 babu elezea puliiizz, una kitu wewee
Ndiomana kina bibi humu wanagongana vipepsi kumbe kilimo cha umwagiliaji kingi 🤣
Usifanye nimlaani Mwalimu wangu wa darasa la 6 aliyetufundisha kwamba eti Kilimo cha umwagiliaji kipo huko BK

Usikute tulilishwa matango pori 😜🙌
 
Back
Top Bottom