Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika kitambo sn
Lamomy , njoo basi maana Hali ya hewa inaruhusu kutumia coffee ☕ ☕
Woyooooooooo 🤸‍♀️
Mwenye selfika yako sasa ushatupia, mtoto mzureee mpk unakera 😍😍😍😍
Kitu cha English figure, nguo hazikatai hafu mkali wa outfit sasa.!!! Nyie Mungu anaumba 😘😘😘💋💋💋💋🥰
 
🤣🤣Kwa kupamba uko vzr
Sawa chawa uko vzr
 
Tangu nimzike mama yangu wiki 3 zilizopita siko vzr rafiki
Napambana na trauma
Pole sana , wala usijali mama yako amebadilisha tu aina ya maisha , unatakiwa umwachilie mama yako mapema mno kwa faida ya mama yako na yako pia , jambo kimwili tu ni jambo gumu ila unapaswa kuvuka hiyo hatua ya kimwili tu , rafiki yangu mzuri.
 
🙏🙏
 
Back
Top Bottom