Hahaha..............ni Audemars Mkuu japo ni toleo la Mwaka 47Babu hiyo saaa ni Audemars piguet au ni macho yangu ?
Nimefanya nn😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchumbaa wee muongo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumekucha [emoji1787]
Yeep time yako badoBasi! Nitabaki na kitambi changu
Hizo saa makini mno , wewe ni mtu makini.Hahaha..............ni Audemars Mkuu japo ni toleo la Mwaka 47
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nishavurugwaa hapa, sasa wajichanganyee niwasebenzuee.[emoji23][emoji23][emoji23] umemcharua nani tena uduguu!!
Uduguu una mikwara khaaaa!!
😂Nimecheka sana , unajua una dhambi weweLe super mutindiz u know 🔥🔥🔥🔥😋😄
Wewe ndo umesemaKumbe mimi ni taka taka🥲
Wee ephen_ leo umetaka watu tuchekee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]raraa reree fanya chap[emoji1732][emoji23]
Kwann 😄 hujiamini au😂Nimecheka sana , unajua una dhambi wewe
Unajua mwenyewee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefanya nn[emoji23]
Usitake kufanya nipewe talaka ya Uzeeni na Bibi yenu, Mimi mwenyewe nilisoma kwenye Geography tu kuhusu hicho Kilimo Mjukuu 🤗🤣🤣🤣🤣 babu nimecheka sana
Kwani bk kuna kilimo cha umwagiliaji?
Sema kweliiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha.............hiyo Ndoa yenu Wazee tunajua bado ni hai [emoji847]
Hivi unaanzaje kumwambia mwenzako ni simtank?Wee ephen_ leo umetaka watu tuchekee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili si pipa au simtank la 5000litres.
Wee hauko serious nshajua, khaaaah. Mbavu zinauma kwa kuchekaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu amesema ukweli yupo kama wale sumo tena hapo kawahurumia sana ,namjua vizuri mno.Wee ephen_ leo umetaka watu tuchekee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili si pipa au simtank la 5000litres.
Wee hauko serious nshajua, khaaaah. Mbavu zinauma kwa kuchekaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najiamini! Nimesema una dhambi sabbau umeniambia le mutindizi wakati hayo yangu sio makubwa ni wastani saa 6 iliyochangamkaKwann 😄 hujiamini au
Ndiyo ukweli huo 😅Sema kweliiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sumo ndio nini?Huyu amesema ukweli yupo kama wale sumo tena hapo kawahurumia sana ,namjua vizuri mno.