Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

following...😂😅😅
Wazee wenzetu akina Ben Mkapa, Mzee Mwinyi waliandika historia ya maisha yao kwenye Vitabu, sisi wengine ndiyo tunawasimulia nyie Wajukuu ili mtusaidie kutuandikia.

Babu yenu nimekula chumvi nyingi mjue 😜
 
Niongeze sauti au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20240618-WA0563.jpg
 
Wazee wenzetu akina Ben Mkapa, Mzee Mwinyi waliandika historia ya maisha yao kwenye Vitabu, sisi wengine ndiyo tunawasimulia nyie Wajukuu ili mtusaidie kutuandikia.

Babu yenu nimekula chumvi nyingi mjue 😜
🤣🤣
 
Natumaje na ya kutolea wakati nyago la uongo!! 😂😂😂😂
Kila nikifanya ulichonifundisha kaka yako anakasirika, yan namtibua kabisaa.!! Mpk nikawaza au ndugu wa mume hawanipendi wameamua kunipa tips za kumkwaza mume?? 😂😂😂

Wifi sitoki hata walete greda, mwanaume malaika hayupo, kwanza bora shetani unayemjua, kuliko malaika usiyemjua..!! Upo hapo? 👌
Ww ng’ang’ana hakuna kutoka mtu.!! Nasemaje Nasemaje kaka yako siwaachii 🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
We nawe kichwa kizito unakosea masharti🤣
 
Hahaha..........ila nashukuru Wazee kunikatalia kumuoa yule Binti, vinginevyo Kwa ule utundu wake ningeuza assets zote za familia kwaajili yake🤗🙌
😂😂😂 babuuu mkali wa hizi kazi!! Yani babu unawapatia wajukuu zako humu jf. Huna bayaaa
Nikizaa mtoto wa kiume nataka akiwa mkubwa awe km wewe 🤣🤣
 
Back
Top Bottom