Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,950
Nouma sanaaaa 😂😂😂😂AU basi nishaelewa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nouma sanaaaa 😂😂😂😂AU basi nishaelewa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya ysiku mwrma sister with much love and respect kwako mkuu. Nilikuwa nakuchemsha na kujaribu kukutoa mchezoni tu.Sijakataa mdogo angu
Naanzaje kukataa.
Sawa asante sana.Haya ysiku mwrma sister with much love and respect kwako mkuu. Nilikuwa nakuchemsha na kujaribu kukutoa mchezoni tu.
Nishaachana nae kitamboMnajuana na coca 😂😂😂
Hivi ule mshangazi wako uliachana nao?
"Wenye ndoa wawe waaminifu kwa wenza wao" 🦾🦾🦾imekaaa powa sanaMpaji Mungu waebrania 13:4
08😂😂😂 Kwani namba inashia na ngapi?? Leo nilikuwa na simu nyingi
naonaMama mzaa chema lazima nitunzwe hapana chezea weweeee 😂😂😂😂
Ile comment niliandika huku nimelewa🤣 Acha ujinga, kuwa king'ang'a.....unaachanaje yani?😂😂😂 Basi andika talaka kwa niaba yake.
Mzee mwenzangu huyo binti sikufanikiwa kumuoa, maana ndugu walipinga Kwa kusema kama alinionjesha mara moja nikataka kuuza Kiwanja cha familia je akiwa ananionjesha Kila Siku si nitawauza wao wenyewe ili tukaishi na binti Dubai 😜 🙌😂😂😂😂😂
Mzee wangu legend, hope huyo binti ulimuoa ....
Au ndio ulipita hivi
Ahahahha alooh weeeeh....
Mimi nouma muulize hata mtoto bad marioooo.....
Mi siifanyi kwa njaa hi kutu![]()



njaa zitakuua wee Dogo, ytakuja upasuliwe yai.BL umeninyima nyama leo, sijapenda LuvKuchat na picha wapendwa
Bora niko peke yangu niweke picha sasa, nishashiba.
![]()



Mnajuana na coca
Hivi ule mshangazi wako uliachana nao?



amehamia kwa wajomba mareshi, mshangazi ampatee wapii?uduguu em niache kwanza, Eid leo tumeshiba biriani la ngamia.




utajijuuuAlikujaga muda tulimuita akasema nitawaibia wanaume zenu
Umesahau wifi nawe kipindi kile??





Nasubiria hapa, leo huogopi kunangwa pm??
Wanaonanga wenzao sasa wenyewe vijuso km wanalamba ndimu vimechunda
Nipige tafu face





kumbe mpo basi nimeghairi. Nitaweka usiku sana mkiwa mmelala. Kwanza nipe code ya kipilipili, unaitaja siielewi.





Ndiyo nimeelewa hivyo, ila za nani? Yaani niko slow na umbea hata sielewi![]()



