Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,950
😂😂😂😂 uduguu em niache kwanza, Eid leo tumeshiba biriani la ngamia.shem yupo wa kukutoa upwekee, em relaaaaaaxxx
😂😂😂😂 uduguu em niache kwanza, Eid leo tumeshiba biriani la ngamia.shem yupo wa kukutoa upwekee, em relaaaaaaxxx
😂😂😂😂 Chino hujaizoea selfika?? Halafu leo hakukuwa na ugomvi ni shibe za biriani, watu walikuwa wanatafuta pa kumpumlia.Chino alikimbia kidogo aliona damu zisije zikamrukia.
Kuna vitu vya kukosa mchuchu ila sio mapishi ya Aaliyyah
Ntakuchukua kwenye mgahawa wake siku mmoja
Mama mzaa chema lazima nitunzwe hapana chezea weweeee 😂😂😂😂Wewe huyo🤣
Ni kweli, hata mimi huwa nashangaa bichwa na mapovu yake yote yale ila huku hathubutu kugusa!🤣🤣🤣Bichwa huu uzi hajagi huku, yy yuko busy uko na mada zake ngumu za ndoa za kikatoriki 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 Basi yaishe kakoma.Mauzinde wa jf huyo
Alikujaga muda tulimuita akasema nitawaibia wanaume zenu 😂😂😂😂Ni kweli, hata mimi huwa nashangaa bichwa na mapovu yake yote yale ila huku hathubutu kugusa!🤣🤣🤣
Ndio nakumbuka alikuja once ila sijamuona tena🤣🤣.Alikujaga muda tulimuita akasema nitawaibia wanaume zenu 😂😂😂😂
Umesahau wifi nawe kipindi kile??
Nasubiria hapa, leo huogopi kunangwa pm?? 🤣🤣🤣Kuchat na picha wapendwa 😛😛😛😛😛😛
Bora niko peke yangu niweke picha sasa, nishashiba.
🙆♀️
Pilau liko wapi wifi?
Unajifanya kuwatembelea 🤣🤣🤣Hehehe Jambo letu hili.
Unazamiaje??
Kuna muda anakasirika anawachachuaga 😂😂😂Ndio nakumbuka alikuja once ila sijamuona tena🤣🤣.
Mimi nikiona comments zake huwa nacheka kweli, hajui kununa hata umtukane vipi!🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂 kumbe mpo basi nimeghairi. Nitaweka usiku sana mkiwa mmelala. Kwanza nipe code ya kipilipili, unaitaja siielewi.Nasubiria hapa, leo huogopi kunangwa pm?? 🤣🤣🤣
Wanaonanga wenzao sasa wenyewe vijuso km wanalamba ndimu vimechunda 🤣🤣🤣
Nipige tafu face
Haogopi mtu bichwa jamani halafu anapokea na kukubali tuhuma zote anazopewa🤣Kuna muda anakasirika anawachachuaga 😂😂😂
Kuna siku aliniita nimsaidie kuna chalii mmoja alimzingua nilicheka, nikanunua kesi.
Wizo wangu hanaga baya
Ngoja nichukue mbinu.Unajifanya kuwatembelea 🤣🤣🤣
Nimepiga namba yako uko bizze,mimi nimekula😁😁Pilau liko wapi wifi?
Bantu Lady tume miss kuzima server za jf ujue
Nawasubiria mlale kwanza, nibaki peke yangu 😄😄😄😄
Haujuagi tu unavyonmpa chino mateso ukilaga ban we mtoto😂😂😂😂 Chino hujaizoea selfika?? Halafu leo hakukuwa na ugomvi ni shibe za biriani, watu walikuwa wanatafuta pa kumpumlia.
Mi siwezi kumsaliti bro angu, nataka mparuane, mgombane muachane kweli🤣🤣🤣 tumechoka drama za la mujer de mi Vida🤣🤣🤣Wifi mbona unanitisha imekuwaje ghafla hivi uwe upande wangu?? Ndugu wa mume hamuaminiki!! 🤣🤣🤣