Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Boom mchezoo,
Msingi kiuno na kupigwa starter, mashangazi kwa kupiga kiki hawajambooo.
Wee huogopiiii?
Weee hapana..
Nakutana na mashangazi ya kawaida tu tena huwa nalazimishwa kula before mechi..
She treat me very well ili nisimwangushe mda wa show show..
😁😁😁
Sasa ww kama unaamini mambo ya starta sijui.. utajuwa wewe 😁😁😁
 
Weee hapana..
Nakutana na mashangazi ya kawaida tu tena huwa nalazimishwa kula before mechi..
She treat me very well ili nisimwangushe mda wa show show..

Sasa ww kama unaamini mambo ya starta sijui.. utajuwa wewe
Trokaaaaaaa!!!
Huna lolote, unapigwa na jua kalii hapo Dom, Dar utapasikia tyuuh.
Woiiiiiih
 
Ewwww
1716483355413.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Zile Zama ubazazi ulikuwa umepamba Moto saaana
Kilichosaidia zama zile hakukuwa na maradhi mengi kama miaka hii, japo utofauti wa mabinti wa zama zetu na hawa wa zama hizi ni utundu tu kunako 6*6

Nakumbuka Mwaka 47 bila ndugu kunigomea, nilitaka kumhonga binti mmoja Kiwanja cha familia baada ya kuzidiwa na utundu wake 😜🏃🏃🏃🙌
 
Back
Top Bottom