Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wii mnafki ww sijaona 😂😂😂
Kwanza ulinialika nyago la uongo na pesa ukanichaji, matokeo yake nikaachika.!!

Nasemaje kaka yako simuachi, nnaye na natamba naye we huogopi??!! 😂😂😂
Kwanza namuacha, namuachia nani?? Yani km maex zake wametulia wanasubiri nimuache wajirudishe nawapa pole sana’aa.!!!
Siwaachii ng’o! Mkinga nakaba had penalty oyooooooo.!!! 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
Hela ya yenyewe hukutuma na ya kutolea🤣🤣🤣

Hivi Karne hii mtu unaachika kweli? Huyo mkamilifu unaenda kumpata wapi??? ni mwendo wa kung'ang'aniaa🤣🤣🤣

Mie nipo huku na huku, udugu nautaka, Wifi nampenda....nyie Mie naogopaaa???🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wape pole wanafungwaje nyumbani?? Ugenini si ndo watatuaibisha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kwan afu mbna sielewiii, niko buzzy sana na Ba tamu,
Kaniambia huu muda wangu wa ku enjoy, mateso bas na nisahau, niko ktk mikono sahihi.

Em ninong'onezee kuna niajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hela ya yenyewe hukutuma na ya kutolea🤣🤣🤣

Hivi Karne hii mtu unaachika kweli? Huyo mkamilifu unaenda kumpata wapi??? ni mwendo wa kung'ang'aniaa🤣🤣🤣

Mie nipo huku na huku, udugu nautaka, Wifi nampenda....nyie Mie naogopaaa???🤣🤣🤣
Natumaje na ya kutolea wakati nyago la uongo!! 😂😂😂😂
Kila nikifanya ulichonifundisha kaka yako anakasirika, yan namtibua kabisaa.!! Mpk nikawaza au ndugu wa mume hawanipendi wameamua kunipa tips za kumkwaza mume?? 😂😂😂

Wifi sitoki hata walete greda, mwanaume malaika hayupo, kwanza bora shetani unayemjua, kuliko malaika usiyemjua..!! Upo hapo? 👌
Ww ng’ang’ana hakuna kutoka mtu.!! Nasemaje Nasemaje kaka yako siwaachii 🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Back
Top Bottom