Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,471
- 94,939
Mnajuana na coca πππAlafu sis huyu coca mbona ananishambulia hvi ππππ
Mwambie basi apunguze maneno yake machafu πππππ
Hivi ule mshangazi wako uliachana nao?
Mnajuana na coca πππAlafu sis huyu coca mbona ananishambulia hvi ππππ
Mwambie basi apunguze maneno yake machafu πππππ
ππππ uduguu em niache kwanza, Eid leo tumeshiba biriani la ngamia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem yupo wa kukutoa upwekee, em relaaaaaaxxx
ππππ Chino hujaizoea selfika?? Halafu leo hakukuwa na ugomvi ni shibe za biriani, watu walikuwa wanatafuta pa kumpumlia.Chino alikimbia kidogo aliona damu zisije zikamrukia.
Kuna vitu vya kukosa mchuchu ila sio mapishi ya Aaliyyah
Ntakuchukua kwenye mgahawa wake siku mmoja
Mama mzaa chema lazima nitunzwe hapana chezea weweeee ππππWewe huyoπ€£
Ni kweli, hata mimi huwa nashangaa bichwa na mapovu yake yote yale ila huku hathubutu kugusa!π€£π€£π€£Bichwa huu uzi hajagi huku, yy yuko busy uko na mada zake ngumu za ndoa za kikatoriki π€£π€£π€£π€£
ππππ Basi yaishe kakoma.Mauzinde wa jf huyo
Alikujaga muda tulimuita akasema nitawaibia wanaume zenu ππππNi kweli, hata mimi huwa nashangaa bichwa na mapovu yake yote yale ila huku hathubutu kugusa!π€£π€£π€£
Ndio nakumbuka alikuja once ila sijamuona tenaπ€£π€£.Alikujaga muda tulimuita akasema nitawaibia wanaume zenu ππππ
Umesahau wifi nawe kipindi kile??
Nasubiria hapa, leo huogopi kunangwa pm?? π€£π€£π€£Kuchat na picha wapendwa ππππππ
Bora niko peke yangu niweke picha sasa, nishashiba.
πββοΈ
Pilau liko wapi wifi?ππ
Unajifanya kuwatembelea π€£π€£π€£Hehehe Jambo letu hili.
Unazamiaje??
Kuna muda anakasirika anawachachuaga πππNdio nakumbuka alikuja once ila sijamuona tenaπ€£π€£.
Mimi nikiona comments zake huwa nacheka kweli, hajui kununa hata umtukane vipi!π€£π€£π€£
πππππππ kumbe mpo basi nimeghairi. Nitaweka usiku sana mkiwa mmelala. Kwanza nipe code ya kipilipili, unaitaja siielewi.Nasubiria hapa, leo huogopi kunangwa pm?? π€£π€£π€£
Wanaonanga wenzao sasa wenyewe vijuso km wanalamba ndimu vimechunda π€£π€£π€£
Nipige tafu face
Haogopi mtu bichwa jamani halafu anapokea na kukubali tuhuma zote anazopewaπ€£Kuna muda anakasirika anawachachuaga πππ
Kuna siku aliniita nimsaidie kuna chalii mmoja alimzingua nilicheka, nikanunua kesi.
Wizo wangu hanaga baya
Ngoja nichukue mbinu.Unajifanya kuwatembelea π€£π€£π€£
Nimepiga namba yako uko bizze,mimi nimekulaππPilau liko wapi wifi?
Bantu Lady tume miss kuzima server za jf ujue
Nawasubiria mlale kwanza, nibaki peke yangu ππππ
Haujuagi tu unavyonmpa chino mateso ukilaga ban we mtotoππππ Chino hujaizoea selfika?? Halafu leo hakukuwa na ugomvi ni shibe za biriani, watu walikuwa wanatafuta pa kumpumlia.