Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,522
- 95,042
😂😂😂😂 soon utafikiwa tuliaBadoo sijafikiwaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 soon utafikiwa tuliaBadoo sijafikiwaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natumaje na ya kutolea wakati nyago la uongo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila nikifanya ulichonifundisha kaka yako anakasirika, yan namtibua kabisaa.!! Mpk nikawaza au ndugu wa mume hawanipendi wameamua kunipa tips za kumkwaza mume?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wifi sitoki hata walete greda, mwanaume malaika hayupo, kwanza bora shetani unayemjua, kuliko malaika usiyemjua..!! Upo hapo? [emoji108]
Ww ng’ang’ana hakuna kutoka mtu.!! Nasemaje Nasemaje kaka yako siwaachii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujui nataka kujiweka kwa mode, Ban ntazisikia kwa hewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] soon utafikiwa tulia
Nenda kwenye uzi wa WCB kumuhusu Noel, utamuona tyuu.Wee vazi gani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu nitag nikamuone
Analo hili hapa👇[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mbona sina taarifa, Zuchu ana jisong la "utaniua"?
kweli my kwani wewe hujuiSemaa kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23]
We si unajifanya umezuga kutoa code ile pole yako 👌🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kwan afu mbna sielewiii, niko buzzy sana na Ba tamu,
Kaniambia huu muda wangu wa ku enjoy, mateso bas na nisahau, niko ktk mikono sahihi.
Em ninong'onezee kuna niajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno matamu, tatzo uimbaji wake km taarabu au mchiriku ndo anaboaa.Analo hili hapa[emoji116]
Nna hamu mwenzenu nna hamu kuyahadithia
Oh nna hamu tena nna hamu kuyasimulia
Utanii kama utani, Tulianza kimasiara
Sikudhani sikudhani, Yatafikia mahala
Akiwa hapatikani hapaliki, Sijalala
Kanifanya kitu gani, Mbona imekua mara
Dua La kuku menipata mwewe Wallahi nyinyi ni mtihani
Hata makosa ayafanye yeye mimi ndo naomba samahani
Ona anacheka kama mazuri
Anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli
Eti kumwacha naanzaje asa kusepa natoa wapi jeuri
Na kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufulii
Oh baby mimiapa taabani (Wewee utaniua niua)
Nimeoza dah Yarrabi sihemi (Wewee utaniua niua)
Ah hizo raha zakoo (Wewee utaniua niua)
Roho yangu mali yako (Wewee utaniua niua)
Tukikosa stuli ni sunna kula kwenye mkeka
Unijue vizuri nkinuna mie ndo nadeka
Usije dhani kiburi uniache nkaja kuchekwa
Baby raha ya shughuli mkunwa awe na hekaheka
Ooh usichokipenda wewe (Aaaaah ahh)
Chunga na mimi usinifanyie (Aah aah)
Mgomba wangu mwenyewe (Ahhh ahh)
Eti ndizi nigombanie (Ahhh)
Nipe penzi nilewe niyumbe nizimie ooh ringa
Kwangu upo mwenyewe kiboko yangu mie ooh vimba
Ona Anacheka kama mazuri
Si anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli
Eti kumwacha naanzaje asa kusepa natoa wapi jeuri
Na kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufulii
Aah eeh! baby mwenzako mimi taabani (Wewee utaniua niua)
Chagua mwenyewe unizike unisafirishee (Wewee utaniua niua)
Aah! hizo raha zakoo (Wewee utaniua niua)
Roho yangu mali yako (Wewee utaniua niua)
Code ile ipii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We si unajifanya umezuga kutoa code ile pole yako [emoji108][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habarii cnaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli my kwani wewe hujui
Uduguu sitokiiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 umechoka masimango?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujui nataka kujiweka kwa mode, Ban ntazisikia kwa hewa.
Weeh ndo yupo huko 😂😂😂Nenda kwenye uzi wa WCB kumuhusu Noel, utamuona tyuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ndio hivyo my.i love you so muchHabarii cnaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaniachaa yeyee jamani, naanzaje kupiga teke fuko la hela?Uduguu sitokiiiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ww si umesusa umewaachia boss wa voucher, mimi siwaachii. Ila nacheka hapa
Mi naupenda na sauti yake basi buruda 😂😂😂Maneno matamu, tatzo uimbaji wake km taarabu au mchiriku ndo anaboaa.
Sitaki nyimbo zake kisa hiyo styles, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo mode mwenyewe badala ya kunitetea ndo atakua analima ban kila nikimchachua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umechoka masimango?!
Unajifanya hujui? 😂👌👌Code ile ipii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ban kapatia ktk ule uzi, kuna comments zake zimefutwaaa.Weeh ndo yupo huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wizo ana pilika
@Lamomy uduguu nisaidie hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio hivyo my.i love you so much