100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,178
- 36,365
Hujamalizia hapo nina pesa...Handsome!!
Dark skini
Muscular
Ila umekosaa u tall, sasa kwann unakua mgomvii? Hufananiii ujue.
Hujamalizia hapo nina pesa...Handsome!!
Dark skini
Muscular
Ila umekosaa u tall, sasa kwann unakua mgomvii? Hufananiii ujue.
Head girl km head girl yani 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Pesa hunaHujamalizia hapo nina pesa...
Ni kubless picha yake au...Wee kwendraaa huko, akati tukunyema huyo ana afadhariiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh ili kuthibitisha pesa unazo, haya weka mivocha hapa waja wagombanieee.Hujamalizia hapo nina pesa...
Em weka picha ake nionee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kubless picha yake au...
Maana mi sasa hv ni mtu wa kufotoa tuu staki utani
Keep hookin...😂😂😂😂 Pesa huna
Mimi siwekagi pic za kudownload ww na wenge lako, nishawahi kuwatuma waniletee pic halisi ambayo sijaificha emoj wakaishia kujichekesha humu. Na ww nakutuma lete hizo pic unazodai za kudownload zikiwa full hapaWeka hata ya ku download...
Sipo Tanzania, ningetuma hizo vocha kama zote...Oooh ili kuthibitisha pesa unazo, haya weka mivocha hapa waja wagombanieee.
Tajirii km tajiriii!!!
Hunaaaa 🤣Keep hookin...
Jamanii wee 100 acha fix, sa hapo kwa picha ni wapi? Em sema kwelii.Sipo Tanzania, ningetuma hizo vocha kama zote...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila uduguu wee mchokoziiii, kwann unataka sana maugomvi? Si utuliee bas nawee, khaaaahHunaaaa [emoji1787]
Hebu ngoja nikale pizza, Shem mpitie coca tukutane Pizza Hut
😂😂😂😂 halafu uduguu ile lugha yetu ya kinyume nyume si nimeikuta kwa mh Lema insta, alituchabo humu nini??Jamanii wee 100 acha fix, sa hapo kwa picha ni wapi? Em sema kwelii.
Afu hata sijaona jamaniii, hii app vipi [emoji53][emoji53][emoji53]
We si usome hio t shirt imeandikwa gates scholarship, hapo Mwanza rock city, Tz mbona nakuja na kuondoka sana...Jamanii wee 100 acha fix, sa hapo kwa picha ni wapi? Em sema kwelii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kuna vijimaneno vyangu nilivikuta kwenye tamthilia ya lawama, nilichokaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu uduguu ile lugha yetu ya kinyume nyume si nimeikuta kwa mh Lema insta, alituchabo humu nini??