Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakutengenezee kwenye mfumo wa Cocktail ama kawaida?

Ukikuta Mzee mmoja amevaa miwani ya macho pamoja na Mkongojo pembeni ujue ni Mimi 😜
Cocktail tu babu.

Sawa babu nikifika hapo ntakuona tu
Mim nimevaa gauni la rangi ya CCM
 
Cocktail tu babu.

Sawa babu nikifika hapo ntakuona tu
Mim nimevaa gauni la rangi ya CCM
Tayari Mhudumu anashughulikia order yako

Ulisema waandae na Mbuzi Choma ama Sato Choma?

Kuhusu hiyo rangi ya gauni nimependa, na hivi Uchaguzi ni Mwakani watahisi Babu yenu nimeanza kukaa vikao na Wajumbe 😜
 
Mim na samaki wapi na wapi.
Mwambie aandae na mbuzi choma hapo.

Eeeeh gauni linawaka hatari
Wajue ni vikao vya kamati kuu vimeanza.
 
Kilichosaidia zama zile hakukuwa na maradhi mengi kama miaka hii, japo utofauti wa mabinti wa zama zetu na hawa wa zama hizi ni utundu tu kunako 6*6

Nakumbuka Mwaka 47 bila ndugu kunigomea, nilitaka kumhonga binti mmoja Kiwanja cha familia baada ya kuzidiwa na utundu wake 😜🏃🏃🏃🙌
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom