cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,065
Basi vyedii 100, enjoy Eid el Adha, !!!Scholarship mbona zipo nyingi sana, hii nipo ni highly selective....
Pilau lipoo?
Basi vyedii 100, enjoy Eid el Adha, !!!Scholarship mbona zipo nyingi sana, hii nipo ni highly selective....
We mbona kibagarashea kikubwa, kichwa kudogo?? Umeazima ili ukapige pilau 🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii sanaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzeeni tutajicheka uduguu
Ushaaanzaaa 😁😁😁😁😁We mbona kibagarashea kikubwa, kichwa kudogo?? Umeazima ili ukapige pilau 🤣🤣🤣🤣
Hahahahahahah naomba umpe dawa haswaaaaaLodge kumtibu mgonjwa
View attachment 3019455
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee yako? I4n enyewe umepata Had uingizwe Dole huko kuamsha uti wa mgongooo.Utajua ww na simu lako la hovyo
Mbona una nitukana sasa 😁😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee yako? I4n enyewe umepata Had uingizwe Dole huko kuamsha uti wa mgongooo.
Kwendraaaaaa!!! Umechundraaaaa!!!
Boom mchezoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona una nitukana sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mi sijapewa nimenunua mwenyewe kwa boom langu..
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mmepatana??? Mi sijapentraaa uduguu 🤣🤣🤣Basi vyedii 100, enjoy Eid el Adha, !!!
Pilau lipoo?
Weee hapana..Boom mchezoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msingi kiuno na kupigwa starter, mashangazi kwa kupiga kiki hawajambooo.
Wee huogopiiii?
Bichwa huu uzi hajagi huku, yy yuko busy uko na mada zake ngumu za ndoa za kikatoriki 🤣🤣🤣🤣Ushaaanzaaa 😁😁😁😁😁
Tamuita bichwa hapa unyamaze
Alafu sis huyu coca mbona ananishambulia hvi 🙌🙌🙌🙌Bichwa huu uzi hajagi huku, yy yuko busy uko na mada zake ngumu za ndoa za kikatoriki 🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem yupo wa kukutoa upwekee, em relaaaaaaxxxMmepatana??? Mi sijapentraaa uduguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nataka niendelee kucheka humu.
Trokaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee hapana..
Nakutana na mashangazi ya kawaida tu tena huwa nalazimishwa kula before mechi..
She treat me very well ili nisimwangushe mda wa show show..
[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa ww kama unaamini mambo ya starta sijui.. utajuwa wewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Ahahahha alooh weeeeh....Trokaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna lolote, unapigwa na jua kalii hapo Dom, Dar utapasikia tyuuh.
Woiiiiiih
Whaoooo 😋😋😋😋💕Eid al adha wapendwa..View attachment 3019469
Mshashiba 😁😁😁🤸🏿♀️🤸🏿♀️🤸🏿♀️🤸🏿♀️
Kilichosaidia zama zile hakukuwa na maradhi mengi kama miaka hii, japo utofauti wa mabinti wa zama zetu na hawa wa zama hizi ni utundu tu kunako 6*6🤣🤣🤣🤣🤣
Zile Zama ubazazi ulikuwa umepamba Moto saaana