Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aliyesema mpo kundi moja ni huyo mwenzako cocastic, wala sio mm
Hapo ndio uone maneno sio issue, ww huna maneno lakini cocastic kakutaja mpo pamoja toka zamani
Kwanini mnataka kuniingiza kwenye ugomvi kinguvu? Mie sitakii, km kugombana gombaneni kivyenu, sihitaji kabisa manjegekaa sahivi.
 
Halafu usikute hii ni ID moja kwa maana hizi couple za ja ni noma unakuta unajiuliza na kujijibu mwenyewe, toka nilipoona unatuma picha za ku downoad nikajua tu hapa kazi ipo, halafu kuna picha nnayo sijui niweke hapa...
Dogo naona kukukumbusha ulivyokuaga huko nyuma umeumia sana, unaanza kuattack uliokua unawasifia
 
Dogo umeanza kuchanganyikiwa, cocastic ndio kakutaja mpo pamoja toka zamani na akasema anawajua mpo watatu, narudia kukuambia hayo sio maneno yangu ni yake

Hii kujikaza haikusaidii kitu ikiwa tayari huko nyuma ulishaharibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini unahamisha ugomvi wenu na kuleta kwangu?
Country mie sitaki bhanaa,
 
Stupid....
Mnajitia best couple ya JF kumbe picha za kudownload..... 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kwa maelezo ya cocastic ugomvi wenu ww na wenzako humj watatu ilikua ni kumuonea wivu, hiko ndio amesema. Na amesema mlijipanga kumuondoa huku jf mbaki nyie watatu
Mm sio mjanja sana na pia sio mshamba Sana, kuhusu mm kujibizana na ex hiyo nimekueleza huko. Sasa ww ambae umekuwa revealed na coca Kama huko zamani mlikua chama kimoja umegoma kubadili I'd tafsiri yake nn? Si ili uanze kutongozwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan imebidi nichekee tyuu, woiiiiiih
Ila watu jamaniiii, khaaaah
 
We jamaa muongo khaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo pesa anazo mbwa haruki na Valentine’s Day alinipa bonge la zawadi. Sema ni vile shetani hapendi kuona wawili wakipendana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si umuulize huyo coca yupo hapa... Bro una fail..
We na couple yako hapa ni kitukona picha zenu za kudainilodi... najua ina ku hit so hard lakini hamna namna 😂 😂 😂 😂 😂 :OMEGALAUGHING: :OMEGALAUGHING: :OMEGALAUGHING:
Nilijua lazima utapoteana, ulianza kama mshauri mara kutongoza wakati upo group la walioleft, sasa hivi unaanza tena kushambulia uliokuwa unawasifia mwanzo
 
Umeona eeh Mjukuu, Wazee tunapenda yale mapishi mengine kuliko hayo mapishi yenu ya Chapati 🤗
😀😀Kuna Uzi wa 2012 anatafuta jimama Tanga nikasema huu Uzi sio Babu kweli huu enzi zake maana sahiz Kawa mzee wa ovyo 🤣🤣🤣
 
Kazi unayo kumbe huwa unasave picha zinazotumwa za watu?!! Haya unazifanyia Kazi gani?? Kumbe ww kidampa km coca alivyosema?!! Pole sana kumbe picha zinakutesa kiasi hicho??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie kwani lazima mie nihusike kwenye kila ugomvii? Em mniachee bhanaa.

Mie sitaki Ban tenaa sahivi.
 
Dogo naona kukukumbusha ulivyokuaga huko nyuma umeumia sana, unaanza kuattack uliokua unawasifia
Kuna siku moja hapa unajitia kum post manzi ako, eehhh, si ukatuma picha ya kudownload, nikaipimia halafu nikminya reli, silent, nimgetaka kukuaibisha hapa ingekuwa mtafutano....

Bro hebu achana na hizi issue, ntakuabisha hapa ubadili na ID...
 
Back
Top Bottom