Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,577
Anayecheka hiyo ni kazi kwake, wala hakuna impact yoyote kwetu in real life na hiyo ndio tafsiri ya fake ID. Jf sio jimbo kwamba kesho tutakuja kuomba kuraNdio ujue maadui ni wengi na unafiki ni wa kutosha
Mnachokifanya hapa kinaonekana na watu wengi kuliko mnavyodhani,watu wanaitana kimya kimya na wanachekelea kinachoendelea....kiufupi mmekuwa kituko
Lakini labda inawezekana msione tabu kwasababu hatuwafahamu
Mnisamehe tu kwa kuandika niliyoandika leo,naishia hapa.

