Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,655
- 16,023
Nije uniambie bff 🤭Na nna liubuyu limenikaba kooni balaa 😂😂😂
Mmbea mwenzangu tumegombana basi wa kumwambia sina!! Nyie ntakufa miye
Nije uniambie bff 🤭Na nna liubuyu limenikaba kooni balaa 😂😂😂
Mmbea mwenzangu tumegombana basi wa kumwambia sina!! Nyie ntakufa miye
😂😂 Kongole kwa bibiNdo maana ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Kweli bwan,, nakumbka nilkunywa ya moto nikawa napuliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile iwe siku hiyo hiyo, ikilala ni hatariiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona hapo sasa.[emoji23][emoji23]Kweli bwan,, nakumbka nilkunywa ya moto nikawa napuliza
Sanaaa!!![emoji23][emoji23] Kongole kwa bibi
Bro unazingua..Tobaaaaa!!! Mbona ba tamu yuko ktk 1 ya kazi hapo!! Hadi nshaogopa sasa, [emoji53][emoji53][emoji53]View attachment 3018503
Vipi umeamkajee? Umeni mic eeh?Bro unazingua..
Bro ni muda sasa uwe na mke na watoto, umri umeenda..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, huyu ba tamu anataka nipoe, afu mie nipo km supu ya mbwa niliwe wa moto, sasa nikipoa sinogi hata kwa Chumvi.
Khee umekua muislam tena ShemEid Mubarak 💫!
Bora wauza drug hatujatajwaTobaaaaa!!! Mbona ba tamu yuko ktk 1 ya kazi hapo!! Hadi nshaogopa sasa, [emoji53][emoji53][emoji53]View attachment 3018503
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee leo cna mood ya kukuchachua, Leo ni sikukuu na pia ni j2 siku ya utulivu na amaniiii.Bro ni muda sasa uwe na mke na watoto, umri umeenda..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweliii.Bora wauza drug hatujatajwa
Kama huna cha kuchinja karibu nikuchinje sweetheart...Eid Mubarak 💫!
Kaka ulivyo na miguu imekomaa yenye vigimbi kama mcheza mpira huko mtaani wanafahamu we ni chakula cha watu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee leo cna mood ya kukuchachua, Leo ni sikukuu na pia ni j2 siku ya utulivu na amaniiii.
Tukutaneee keshoo.
Umevaa baibui lakini shepu bado imemwagika, kuna watu Mungu kawapendeleaEid Mubarak 💫!
🙏🙏 vp umezama church Leo?Mpaji Mungu Yeremia 33:3
Unajisikia ahueni sana ukiwa unajibizana na mie? Ile punch ya mwaka juzi haina come back na huwezi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka ulivyo na miguu imekomaa yenye vigimbi kama mcheza mpira huko mtaani wanafahamu we ni chakula cha watu?