Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

ulanzi unakunywa mtogwa au ule mkangafu[emoji23][emoji23][emoji23]m napenda mtogwa mtamu kama fanta pineapple
Togwaa upate ile kutumia mihogo, ndo tamuu km sodaa, ila kutumia mahindi na ulezi ni chunguu balaaa na inaleweshaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakunyumbaaa!!!

Ila kwetu kuna pombe za kienyeji balaaa, afu sasa sio watoto wala wakubwa ni kulandukaaa tyuuu.

Mie kwenye Ulanzi hunitoi, namaliza Sado 2 fyaaaa. Nikitoka hapo ni mwendo wa kudance, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ulaka 😂😂😂😂
 
Age go huyo, aache kucheza km anashangilia Euro.!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mikono inatakiwa itulie kiunoni kwa manzi huyo. Au kanywa serengeti kaanza michezo ya chui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie bibi kanifundisha had kupika pombe za kienyejiii,

Natoa ubaga wa kwendaaa, pombe ikichujwaa, walevi wanalandukaaa tyuuu, inanogaa lyolyolyoo.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 nipe recipe ya wanzuki
 
Na nani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ba tamuu, huku uraiani, yaan mtu kajichanganyaa, nataka nimlipue ba tamu kani cancel, nimefuraa balaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom