Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,520
- 95,078
ππππ kweli nakwambiaThubutuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ kweli nakwambiaThubutuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ unakunywa ulanzi au mbege??Fanya Ivo mchuchu
ππππ punguza hekaheka uduguuBa tamuu, huku uraiani, yaan mtu kajichanganyaa, nataka nimlipue ba tamu kani cancel, nimefuraa balaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labla ila kumbukumbu zangu ujana nishawahi kupindua meza kwa Mwanamke wa kimakondeπNa miutundu wanayo wale, nishawahi chungulia nyago Lao ππππ
Hata kunipigia simu?ππππ unakunywa ulanzi au mbege??
πππ wii we mtu m-badLabla ila kumbukumbu zangu ujana nishawahi kupindua meza kwa Mwanamke wa kimakondeπ
ππππππ chino em niache, usiku saa hizi ntaonekana chizi kwa kuchekaHata kunipigia simu?
Msako wa DC wa ubungo kidogo upite na Mimi
Nishakata zangu katarama hapa nirudi zangu mkoa
Tupia basiππππππ chino em niache, usiku saa hizi ntaonekana chizi kwa kucheka
Aaaah wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli nakwambia
Acha watu wajiachie beibeAge go huyo, aache kucheza km anashangilia Euro.!! ππππ
Mikono inatakiwa itulie kiunoni kwa manzi huyo. Au kanywa serengeti kaanza michezo ya chui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, huyu ba tamu anataka nipoe, afu mie nipo km supu ya mbwa niliwe wa moto, sasa nikipoa sinogi hata kwa Chumvi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] punguza hekaheka uduguu
Hahaha wewe ndio ujibu swali Hilo...sumbai where is Bantu Lady
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie bibi kanifundisha had kupika pombe za kienyejiii,
Natoa ubaga wa kwendaaa, pombe ikichujwaa, walevi wanalandukaaa tyuuu, inanogaa lyolyolyoo.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
alijua ukikwama life utapika uuze hapo baadae ukiwa bibiπππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie bibi kanifundisha had kupika pombe za kienyejiii,
Natoa ubaga wa kwendaaa, pombe ikichujwaa, walevi wanalandukaaa tyuuu, inanogaa lyolyolyoo.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππSasa m ya mahindi ndo nimewahi kuinywa mbona niliona tamu sanaTogwaa upate ile kutumia mihogo, ndo tamuu km sodaa, ila kutumia mahindi na ulezi ni chunguu balaaa na inaleweshaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kumzingua bro..Chango limeacha uduguu πππ
Halafu 100 others alikuwa anakuulizia
Ndo maana ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alijua ukikwama life utapika uuze hapo baadae ukiwa bibi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile iwe siku hiyo hiyo, ikilala ni hatariiii.[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa m ya mahindi ndo nimewahi kuinywa mbona niliona tamu sana
ππππππ chizi sana..nmechekaKufa na kipilipili lazima wakushangae kidogo ππππ