Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo ilani ya chama lazima izingatiwe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ukizingatia wewe unaniwakilisha,,mi nafata vya kung'aa kitu nyeusiiii adi kutishana
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ukizingatia wewe unaniwakilisha,,mi nafata vya kung'aa kitu nyeusiiii adi kutishana
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ila mwanaume naye akiwa mweusi sana anakuwa km Idd Amin, usiombe akasirike na awe na sauti zito km radi.. unazimia mbona
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ila mwanaume naye akiwa mweusi sana anakuwa km Idd Amin, usiombe akasirike na awe na sauti zito km radi.. unazimia mbona
Attention ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚wifi hau olidi a yu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mwanaume naye akiwa mweusi sana anakuwa km Idd Amin, usiombe akasirike na awe na sauti zito km radi.. unazimia mbona
Wee mwehu ujue!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mweusi kama kwapa langu lililokosa kupakwa limao likinyolewa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Achana na limao, ushawahi kufanya waxing ya kienyeji kwa bibi?? Maumivu yake utajikojolea ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Achana na limao, ushawahi kufanya waxing ya kienyeji kwa bibi?? Maumivu yake utajikojolea ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dadeqiiiiiiiiiii umenkumbusha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kwa bibi sjawah ila skumoja nkasema nijaribu kwenye kwapa uuuuweeeeh mbona sikumalizia na sikurudia tena๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom