Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,242
- 183,123
Auwwwww ππππππ!Kama huna cha kuchinja karibu nikuchinje sweetheart...
Nakuja fastaaaa love yani bora nisile kuliko kulikosa yua dudeeee πππππππππ
Auwwwww ππππππ!Kama huna cha kuchinja karibu nikuchinje sweetheart...
Uhakika njoo tupige pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweliii.
Sina hata hilo shepu kipenzi ni Kamera tu sijui inanitoaje walai.Umevaa baibui lakini shepu bado imemwagika, kuna watu Mungu kawapendelea
Sikukuu ni leo au kesho?
Kitambo sana mbona!!Khee umekua muislam tena Shem
camera mbovu hioEid Mubarak π«!
kabiiiiiiiiiisa kama umejuaaa vilecamera mbovu hio
nikubadirishie nzuri?kabiiiiiiiiiisa kama umejuaaa vile
Hii 'the vibe' ni restaurant au?
ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona hapo sasa.
ata sijaenda yaniππ vp umezama church Leo?
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani km mchepuko wangu.
Ndio wajiachie km wako vilabu vya ulanzi?Acha watu wajiachie beibe
πππ Unapenda hekaheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, huyu ba tamu anataka nipoe, afu mie nipo km supu ya mbwa niliwe wa moto, sasa nikipoa sinogi hata kwa Chumvi.
Shem jana ulikuwa wapi? πππAcha kumzingua bro..
πππ hatareeee misitu ya Amazon ifyekwe kuna kifo wajameniππππππ chizi sana..nmecheka
njoo home tuinjoi mrembooNyie wahalifu mliodoji church mkaamkia jf wazima?
ππππ Na wangu yupo khaaaa!!Tobaaaaa!!! Mbona ba tamu yuko ktk 1 ya kazi hapo!! Hadi nshaogopa sasa, [emoji53][emoji53][emoji53]View attachment 3018503