Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee hukushangaa juzi na jana nilikuwa mwingi Jf?? Nilishikwa na tumbo lile wanaita sijui chango weeeh!! Pale nilikuwa nachat ila maumivu sasa!! Wohiii sitaki kukumbuka!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Nilikuwa namuona Israel ananikonyeza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎio kitu nimeikwepa kwasasa,,linauma kama uchungu aseeeee,, enewei pole sana wiifii
 
Polee sana Hilo tumbo balaa Kuna siku lilimkamata mke wangu hadi nikalia usiku kucha nilimpa hadi Panadol lakini haliku powa 😭
Mimi kuna dawa bibi yangu alinipa ya kienyeji ni nzuri ila kilichonishinda anasema ukifanya mchezo mbaya jiandae kulea 🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎio kitu nimeikwepa kwasasa,,linauma kama uchungu aseeeee,, enewei pole sana wiifii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ wifi umeikwepaje?? Nipe mbwinu em ila usinishauri kuzaa!!
 
we komaa nalo tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwakweli,mi nilizaa ila siwezi kukushauri kuzaa coz utalea mwenyewe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi siogopi kulea ila bado sijafikiria
 
Halafu nataka kubadili profile niweke picha ya msanii wangu pendwa wa hip hop na hamna yeyote wa kunizuia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Em weka tumuoneee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ‡
 

Attachments

  • IMG_5231.jpeg
    IMG_5231.jpeg
    1.4 MB · Views: 5
Back
Top Bottom