Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23] na bila kashikashi unakuwa hujafuzu
Ndo hapo sasa, shinda vita nyingi, uwe umefuzu viwango.

Kwani JF wanipe u platinum member, sifa na vigezo nimekidhiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nashangaa wanaojianika humu ulimwengu wa fake ids!!! Humu usijulikane na yeyote mahi, kitumbili kimoja kikikujua tyuu kitaanza hekaheka km mwali aliyelipiwa mahari sasa bwana kachelewa kumfata hizo fujo zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hata hilo sijali pia,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uliskia wap zombi akawa na feelings
 
20240612_031701.jpg
 
kumbe hua unaumwa,,aya ayaaa leo weekend sass
Wee hukushangaa juzi na jana nilikuwa mwingi Jf?? Nilishikwa na tumbo lile wanaita sijui chango weeeh!! Pale nilikuwa nachat ila maumivu sasa!! Wohiii sitaki kukumbuka!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Nilikuwa namuona Israel ananikonyeza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Polee sana Hilo tumbo balaa Kuna siku lilimkamata mke wangu hadi nikalia usiku kucha nilimpa hadi Panadol lakini haliku powa 😭
 
Back
Top Bottom