Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye maokoto sina uhakika!! Umefanya nimemmiss shem kukwangua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem yuko buzzy kutafuta, ngoja arudi atuchapee na vikwanguo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem yuko buzzy kutafuta, ngoja arudi atuchapee na vikwanguo.
Boss hana baya!! Arudi tugombanie vocha hapa 😂😂😂😂
Na bosslady naye aje atubless mivocha
 
Bro yaishe kama umeamua hivyo basi sawa, niache niendelee kuchat na mtoto mzuri...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaishe kweli, au unajipanga uje na lipiii?
Uzuri mie utakavyokuja nakupokea hivyo hivyooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayaa chati na mtoto mzuri, uwe shem, ila kumbuka had mie nimshawishi akukubalie, viginevyoo utagonganisha sana meno upate kithembe, na mchuchu usimpatee.

Wee huogopiiiii?
 
Hapana huyo Bro niliona picha yake, amekomaa miguu sana na ana vigimbi...

Halafu mwanaume hata akae pozi lipi unamjua tu..

Ila watu wana roho ngumu sana, bro alivyo komaa utasema anacheza karate..
😂😂😂😂 Uliona picha kumbe?? Sasa km sio yeye? Si mtu anaweza kutuma picha ya mtu yeyote akijisikia kwani tunajuana humu??
 
Boss hana baya!! Arudi tugombanie vocha hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na bosslady naye aje atubless mivocha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu em niachee, kwann lakiniiii?
 
Back
Top Bottom