Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,762
- 50,193
Kwa lilivokaa Kofi tatu tu waajemi wamo mikao ya papi nengaπππππ Acha bhasi tunatisha watu kwa kucheka
Kwa lilivokaa Kofi tatu tu waajemi wamo mikao ya papi nengaπππππ Acha bhasi tunatisha watu kwa kucheka
aah shoga angu πππ ningekua nakufaham ningekudadavulia walau kiduchu π€πΎnimepoa saivi acha tu,,huon mda mwingi npo online aseee,,nashinda tu nyumbani ka mgonjwa πππngoja kiwakeeeWifi umepinda ujue ππππ
Hapo kwenye kuchangamka ndo balaa
Kweli?mi nimejipigia tuPicha nzuri sana hii
Mna majungu ndiomana hatupendi kuweka picha zetu humu ππππKwa lilivokaa Kofi tatu tu waajemi wamo mikao ya papi nenga
Mnaogopa kwa sababu Kuna namna mshajieleza mlivyo kumbe sivyoπMna majungu ndiomana hatupendi kuweka picha zetu humu ππππ
Ila wifi we weka kwani kuna anayekujua hapa!! πππaah shoga angu πππ ningekua nakufaham ningekudadavulia walau kiduchu π€πΎnimepoa saivi acha tu,,huon mda mwingi npo online aseee,,nashinda tu nyumbani ka mgonjwa πππngoja kiwakeee
Imetokea vizuri sana hadi nimeipenda hiyo miguu yakoKweli?mi nimejipigia tu
unaujua uchungu wewe πππacha umaandazi wako huo,,, siwezi weka aseeee we subiri nichangamkeπ€ΌββοΈππutaniulizia adi chooniIla wifi we weka kwani kuna anayekujua hapa!! πππ
Em lete udambu dambu huo, sio shida zetu sie.
Maisha ni yako hakuna mtu wa kukupangia, mwenye uchungu akazae ππ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Pozi tu hiloImetokea vizuri sana hadi nimeipenda hiyo miguu yako
Mimi sijawahi kujieleza kokote bβse sitafuti taji la umiss humu wala mume, kwanza sio dating site hii useme unahitajika kujinadi. πππMnaogopa kwa sababu Kuna namna mshajieleza mlivyo kumbe sivyoπ
ππππ Weka basi tuchangamke woteunaujua uchungu wewe πππacha umaandazi wako huo,,, siwezi weka aseeee we subiri nichangamkeπ€ΌββοΈππutaniulizia adi chooni
Sasa ndo uandike gazeti lote dadaπMimi sijawahi kujieleza kokote bβse sitafuti taji la umiss humu wala mume, kwanza sio dating site hii useme unahitajika kujinadi. πππ
Mimi nasemaga ni flat screen na naenjoy kuwa hivyo, sasa suala la picha hilo sio shida zangu.!! Picha nishatuma ambaye anateseka nayo atume yake tuone.!! π€£π€£π€£
kwani kua flat ni ugonjwa,,afu tuna jina letu zuri iviππenglish figure uuuuweeeeh πππ sjawah miliki msambwanda toka nizaliweMimi sijawahi kujieleza kokote bβse sitafuti taji la umiss humu wala mume, kwanza sio dating site hii useme unahitajika kujinadi. πππ
Mimi nasemaga ni flat screen na naenjoy kuwa hivyo, sasa suala la picha hilo sio shida zangu.!! Picha nishatuma ambaye anateseka nayo atume yake tuone.!! π€£π€£π€£
katika kujiteteaSasa ndo uandike gazeti lote dadaπ
Tena hapo nimejitahidi kusamaraizi, gazeti lenyewe la mhariri bado πππππSasa ndo uandike gazeti lote dadaπ
Si ndo hapo ππππkwani kua flat ni ugonjwa,,afu tuna jina letu zuri iviππenglish figure uuuuweeeeh πππ sjawah miliki msambwanda toka nizaliwe
nilinyanyuliwa mimba ikaingia nkasahau kumeza p2 nikazaaππapo vip mpenda udakuπππππππ Weka basi tuchangamke wote
Relux kula ubwabwa kunywa soda tuliaaaaaaa usubirie game ya SpainTena hapo nimejitahidi kusamaraizi, gazeti lenyewe la mhariri bado πππππ