Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,894
- 82,125
Picha nzuri sana hii
Picha nzuri sana hii
Kwa lilivokaa Kofi tatu tu waajemi wamo mikao ya papi nenga😂😂😂😂😂 Acha bhasi tunatisha watu kwa kucheka
aah shoga angu 😂😂😂 ningekua nakufaham ningekudadavulia walau kiduchu 🤌🏾nimepoa saivi acha tu,,huon mda mwingi npo online aseee,,nashinda tu nyumbani ka mgonjwa 😂😂😂ngoja kiwakeeeWifi umepinda ujue 😂😂😂😂
Hapo kwenye kuchangamka ndo balaa
Kweli?mi nimejipigia tuPicha nzuri sana hii
Mna majungu ndiomana hatupendi kuweka picha zetu humu 😂😂😂😂Kwa lilivokaa Kofi tatu tu waajemi wamo mikao ya papi nenga
Mnaogopa kwa sababu Kuna namna mshajieleza mlivyo kumbe sivyo😁Mna majungu ndiomana hatupendi kuweka picha zetu humu 😂😂😂😂
Ila wifi we weka kwani kuna anayekujua hapa!! 😂😂😂aah shoga angu 😂😂😂 ningekua nakufaham ningekudadavulia walau kiduchu 🤌🏾nimepoa saivi acha tu,,huon mda mwingi npo online aseee,,nashinda tu nyumbani ka mgonjwa 😂😂😂ngoja kiwakeee
Imetokea vizuri sana hadi nimeipenda hiyo miguu yakoKweli?mi nimejipigia tu
unaujua uchungu wewe 😂😂😂acha umaandazi wako huo,,, siwezi weka aseeee we subiri nichangamke🤼♀️😂😂utaniulizia adi chooniIla wifi we weka kwani kuna anayekujua hapa!! 😂😂😂
Em lete udambu dambu huo, sio shida zetu sie.
Maisha ni yako hakuna mtu wa kukupangia, mwenye uchungu akazae 👌🤸♀️🤸♀️
Pozi tu hiloImetokea vizuri sana hadi nimeipenda hiyo miguu yako
Mimi sijawahi kujieleza kokote b’se sitafuti taji la umiss humu wala mume, kwanza sio dating site hii useme unahitajika kujinadi. 😂😂😂Mnaogopa kwa sababu Kuna namna mshajieleza mlivyo kumbe sivyo😁
😂😂😂😂 Weka basi tuchangamke woteunaujua uchungu wewe 😂😂😂acha umaandazi wako huo,,, siwezi weka aseeee we subiri nichangamke🤼♀️😂😂utaniulizia adi chooni
Sasa ndo uandike gazeti lote dada🙄Mimi sijawahi kujieleza kokote b’se sitafuti taji la umiss humu wala mume, kwanza sio dating site hii useme unahitajika kujinadi. 😂😂😂
Mimi nasemaga ni flat screen na naenjoy kuwa hivyo, sasa suala la picha hilo sio shida zangu.!! Picha nishatuma ambaye anateseka nayo atume yake tuone.!! 🤣🤣🤣
kwani kua flat ni ugonjwa,,afu tuna jina letu zuri ivi😋😋english figure uuuuweeeeh 😂😂😂 sjawah miliki msambwanda toka nizaliweMimi sijawahi kujieleza kokote b’se sitafuti taji la umiss humu wala mume, kwanza sio dating site hii useme unahitajika kujinadi. 😂😂😂
Mimi nasemaga ni flat screen na naenjoy kuwa hivyo, sasa suala la picha hilo sio shida zangu.!! Picha nishatuma ambaye anateseka nayo atume yake tuone.!! 🤣🤣🤣
katika kujiteteaSasa ndo uandike gazeti lote dada🙄
Tena hapo nimejitahidi kusamaraizi, gazeti lenyewe la mhariri bado 😂😂😂😂😂Sasa ndo uandike gazeti lote dada🙄
Si ndo hapo 😂😂😂😂kwani kua flat ni ugonjwa,,afu tuna jina letu zuri ivi😋😋english figure uuuuweeeeh 😂😂😂 sjawah miliki msambwanda toka nizaliwe
nilinyanyuliwa mimba ikaingia nkasahau kumeza p2 nikazaa🙄🙄apo vip mpenda udaku😂😂😂😂😂😂😂 Weka basi tuchangamke wote