Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Moses bliss ni Muumbaji wa injili
Anajua kuimba balaa .
Sasa ndo kafunga ndoa .

Anampenda huyo mkewe Hadi Raha
Walikutana online huku , huyo dada alifanya challenge ya wimbo wa jamaa . Mwisho wa siku jamaa akamdm

Ngoja patulie nisije nikashindwa kufuta mie 😅😅
Ndonani tena huko Daslamu?? Nimepitwa naile 🤳🤳 yako jamani koments zilikua nyingi afu nilikua na kazi!
Naomba rudiakomenti kutubles mamy!
 
Hatari sana 🔥
Wamependeza na kupendeza tena,wapo simple👌Hawana mambo mengi


Team natural🙌🙌🙌amenoga
Yaani ila huyu Moses ni real man
Juzi tu hapa kamvalisha Pete Leo tayari ndoa .

Bado ndoa ya dini tuone itakavyokuwa .

Hapa kuna fundisho mwanaume akikiupenda hapotezi muda .

She looks beautiful and stunning..
Hakuna Cha make up Wala nn
 
Hope you guys had funny today

I would recommended not to extend this conversation to any longer

If you have discussed any issue privately, I don't think if it is fair to have it openly here unless there is agreement between you two. Wanasema usimwage Mchele kwenye Kuku wengi.

Learn to respect and forgive each other. Haiwezekani mtembee na mambo hayo hayo Kwa miaka yote hiyo pasipo kusameheana.

Tumeambiwa samehe 7X70, na huu ni Mwezi wa Kwaresma.

There is no trophies awarded for the best Derider here. Zaidi itakuwa kuvunjiana heshima tu.

Kuna msemo "Kwenye Wazee hapaharibiki jambo"

Naomba muendelee kuwa na imani na Wazee
Mkuu tunataka kutibu matokeo badala ya chanzo. Vile vya hovyo ambavyo hufanywa privately ndio hampaswi kuvifanya sababu kwa namna yoyote lazima vitakuja tu hadharani
 
Moses bliss ni Muumbaji wa injili
Anajua kuimba balaa .
Sasa ndo kafunga ndoa .

Anampenda huyo mkewe Hadi Raha
Walikutana online huku , huyo dada alifanya challenge ya wimbo wa jamaa . Mwisho wa siku jamaa akamdm

Ngoja patulie nisije nikashindwa kufuta mie 😅😅
Wamependeza hawana Mambo mengi!
 
Back
Top Bottom