Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,401
- 88,857
[emoji3][emoji3][emoji3] sema we kwa kukataa me nakupa 10/10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] sema we kwa kukataa me nakupa 10/10
Khakhaaaa ! Usijareee kabesaaa nitaamka shibe mvimbiwo ikiisha !Samahani shemeji unaweza nyanyua shingo kidogo?
Team natural🙌🙌🙌amenogaSaint Anne
Umeona Moses bliss kafunga ndoa ya serikali .
Mkewe ni natural halafu mrembo balaa.
View attachment 2919171
Kumbe mnasoma 😂😂Wakuu,
Yanayoendelea humu hayafai. Hatua kali zitachukuliwa kwa wale wote wanaoenda nje ya mada.
🤣🤣🤣 ila wewe!Kumbe mnasoma 😂😂
Mkuu, selfika basi kwa niaba ya MGT 🥰
We huogopi kutoka na Wazee [emoji12]
Ngoja nimwambie wakala akutumie laki 1 [emoji28]
Aloo!! 😳
Abee 🤣🤣🤣🤣 ila wewe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah! Ila Jf me nawauza bana
🤣🤣 dalali wa nini dada?Utakua dalali mzuri kweli kweli.. nitafutie mmoja dada ako nistirikee
Ndonani tena huko Daslamu?? Nimepitwa naile 🤳🤳 yako jamani koments zilikua nyingi afu nilikua na kazi!
Naomba rudiakomenti kutubles mamy!
Yaani ila huyu Moses ni real manHatari sana 🔥
Wamependeza na kupendeza tena,wapo simple👌Hawana mambo mengi
Team natural🙌🙌🙌amenoga
Mkuu tunataka kutibu matokeo badala ya chanzo. Vile vya hovyo ambavyo hufanywa privately ndio hampaswi kuvifanya sababu kwa namna yoyote lazima vitakuja tu hadharaniHope you guys had funny today
I would recommended not to extend this conversation to any longer
If you have discussed any issue privately, I don't think if it is fair to have it openly here unless there is agreement between you two. Wanasema usimwage Mchele kwenye Kuku wengi.
Learn to respect and forgive each other. Haiwezekani mtembee na mambo hayo hayo Kwa miaka yote hiyo pasipo kusameheana.
Tumeambiwa samehe 7X70, na huu ni Mwezi wa Kwaresma.
There is no trophies awarded for the best Derider here. Zaidi itakuwa kuvunjiana heshima tu.
Kuna msemo "Kwenye Wazee hapaharibiki jambo"
Naomba muendelee kuwa na imani na Wazee [emoji847]
Wamependeza hawana Mambo mengi!Moses bliss ni Muumbaji wa injili
Anajua kuimba balaa .
Sasa ndo kafunga ndoa .
Anampenda huyo mkewe Hadi Raha
Walikutana online huku , huyo dada alifanya challenge ya wimbo wa jamaa . Mwisho wa siku jamaa akamdm
Ngoja patulie nisije nikashindwa kufuta mie 😅😅
YeahWamependeza hawana Mambo mengi!
[emoji23][emoji23]Hivi ni nani hizo id mpya jaman
This is too personal but since am not a hater.Mimi na ukorofi tangu lini?
Endelea tu ,sitokusaidia wakikuweka kati wakupake make up,wakuweke nose pin na wakuambie utembee vidole umeweka hivi 👌👌.
Mzee wa kwenye bullet train huyo, chap naiweka watch list😁View attachment 2919151
Mizigo yako pendwaa hii chinga
Kheri iwe hivyo,nakuhurumia.This is too personal but since am not a hater.
Napotezea
Una nihurumia nini??Kheri iwe hivyo,nakuhurumia.