spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,527
Dodoma hii😊Cheki kitu hiko View attachment 2919152
Dodoma hii😊Cheki kitu hiko View attachment 2919152
Yes BUDDY . Specialized WalinziBut we are friends right!!
Inaonekana ni kituuuView attachment 2919151
Mizigo yako pendwaa hii chinga
Sema jamaa una hasira za taratibu sana, jambo la juzi unakuja kukasirika leo? Alafu mbona tulilimaliza hilo?
Mm ningejua vipi kuwa ulikua unatania? So mm kuja kusema umezingua kutumia pics za huyo mshikaji na kujifanya ni ww ndio umemind?
What if nisingesema, je ungekuja kusema kuwa ulikua unatania?
Sijaona sababu ya ww kuja kulirudisha tena hili leo
Anyway, I'm sorryna yaishe.


Torino ❤️Cheki kitu hiko View attachment 2919152
Kitu very cleanCheki kitu hiko View attachment 2919152
Hahahahaha...tuko tunaopita na wako wanaoishiNajua hii korido tunapita tu watu wanaishi kumbe
Hahahahahahaha....mzee wa Rome , Italy nini tena ..iko Matata ?Kuna kipusa aliniita Mimi ni kanjanja wakati mie nipo royal humu Wala sina shida na mtu kuhusu picha zile za Italy navyoziweka hata mwenye nazo anajua kuwa natumia picha zake maana ninachat nae dm ni mwanangu pia na juzi nimeongea nae fresh tu
Hapo pembeni kushoto kuna chakula kizuri sanaCheki kitu hiko View attachment 2919152
Nimegundua maneno mengi sio poa, ila nipo hapa kulinda mipaka maana lameckagustino anaweza kuja muda wowote, hapo na mm ndio nisogeze manowariSiku hiz country mpole jamani![]()
Mimi hata nashangaa wanawake humu mnagombania nini maana ndoa hazitokei humu huko pm au mnapokutana si muwanyooshe hao,Humu tunataka kila dakika ziwe nyuzi za vilio tu kutoka kwa mafataki
Wenzenu Single mamaz wamejua kuwanyoosha hao si mnaona nyuzi zao hazikauki Jf![]()
HahahahahaNimegundua maneno mengi sio poa, ila nipo hapa kulinda mipaka maana lameckagustino anaweza kuja muda wowote, hapo na mm ndio nisogeze manowari
Hapana kariakoo kwa kweli Iphone shikamooo kwa camera🙌🏻Dodoma hii😊
Yaani unapiga picha mpaka unakuwa mlevi wa kupiga picha kila kitu😁Kitu very clean
Funga mkuuWakuu,
Yanayoendelea humu hayafai. Hatua kali zitachukuliwa kwa wale wote wanaoenda nje ya mada.
Acha roho ngumu🐒Funga mkuu
😁😁Hapo pembeni kushoto kuna chakula kizuri sana