Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi hata nashangaa wanawake humu mnagombania nini maana ndoa hazitokei humu huko pm au mnapokutana si muwanyooshe hao,Humu tunataka kila dakika ziwe nyuzi za vilio tu kutoka kwa mafataki😁😁

Wenzenu Single mamaz wamejua kuwanyoosha hao si mnaona nyuzi zao hazikauki Jf😁😁😁
Wajazee Afu, uje tutulie😁
 
Hamna hata anayegombana huku, as my side naona ni maneno tu ya uzushi so tunaflow na beat kuchangamsha siku maana unakuta hata story huijui ndio unaisikia hapa mpya.

Yangekua ni ya kweli wangekuja na evidence ila sio hiki mara kile.
Yalikuja ya ukimwi saivi naona tumepona wanazusha ya kupewa hela.
Ingekua ni rahisi hivyo si wafanye wao wapewe hizo laki na milioni waboreshe maisha yao maana wamepauka.
 
Iphone haifanani na android
Cheki kitu hiko
IMG_0213.jpeg
 
Hamna hata anayegombana huku, as my side naona ni maneno tu ya uzushi so tunaflow na beat kuchangamsha siku maana unakuta hata story huijui ndio unaisikia hapa mpya.

Yangekua ni ya kweli wangekuja na evidence ila sio hiki mara kile.
Yalikuja ya ukimwi saivi naona tumepona wanazusha ya kupewa hela.
Ingekua ni rahisi hivyo si wafanye wao wapewe hizo laki na milioni waboreshe maisha yao maana wamepauka.
Nakazia
 
Back
Top Bottom