Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Ngoja niitafuteTafuta huu wimbo inaitwa Eh yaya
Or see how far you brought me
Kaimba na Nathaniel bassey .
Ila wanaijeria hawanaga shughuli mbovu🙌
Sema nimependa hizo picha za maharusi
Ngoja niitafuteTafuta huu wimbo inaitwa Eh yaya
Or see how far you brought me
Kaimba na Nathaniel bassey .
pole pole na unisomeshe, hiyo Certain knowledge or Skills in a broader way ndo sawa na kusema highest academic rank?? sikubali 🤣 🤣 anyway sawa profesa,Kwani kumwita mtu proffesor lazima awe msomi?!.
Professor is a title given to a person who posses a certain knowledge or skills in a broader way.
Wote mmesimama kikike😂😂😂😂 👋👋 uduguu
Jamani mimi leo rasmi naomba niwaache na uzi wenu, muendelee kuselfika….
Kikubwa mshajua mbivu na mbichi kwa uchache, mengine mtajazia wenyewe!!
Sina ugomvi na mtu kwanza hatujuani kwa macho ya nyama…!!!
Tukutane kwenye nyuzi nyingine, nimeona active amekuja kutoa warning
Coca ulinikaribisha na leo nasepa zangu…🤠🚶🚶🚶🚶🚶
Uduguuu wangu nakupenda ila leo umeonyesha ukomavu kwa kutokuja na zile id’s mwanzo mwisho. Hivyo ndio inavyotakiwa mwanamke kujiamini 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 Ww sasa unataka kunirudishaMods wamesema comments ziambatane na picha
Dawa ni kuvizia usiku mods wakiwa wamelala2nd half imefutwa hivihivi
Acha niendelee kupika ngano yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji112][emoji112] uduguu
Jamani mimi leo rasmi naomba niwaache na uzi wenu, muendelee kuselfika….
Kikubwa mshajua mbivu na mbichi kwa uchache, mengine mtajazia wenyewe!!
Sina ugomvi na mtu kwanza hatujuani kwa macho ya nyama…!!!
Tukutane kwenye nyuzi nyingine, nimeona active amekuja kutoa warning
Coca ulinikaribisha na leo nasepa zangu…[emoji1783][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Uduguuu wangu nakupenda ila leo umeonyesha ukomavu kwa kutokuja na zile id’s mwanzo mwisho. Hivyo ndio inavyotakiwa mwanamke kujiamini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ndio inavyotakiwa na nilichokuwa nakimaanisha toka mwanzo 😍😍😍Wote mmesimama kikike
Jeshi la mtu mmoja mmoja🔥
Yeah hawana aiseeNgoja niitafute
Ila wanaijeria hawanaga shughuli mbovu🙌
Sema nimependa hizo picha za maharusi
Ila ww shoga angu kwanza ulikuwa wapi??😂😂😂Mnatuachaje sasa hatujajua chanzo ni nin?
Hapo sawa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ww sasa unataka kunirudisha
Haya pic hiyo
🤠🤠🤠 ! Sema kweli??Dawa ni kuvizia usiku mods wakiwa wamelala
Ngoja tutetee Uzi 😅😅Yeah hawana aisee
Mimi nilienda church wakiimba tu nyimbo najua ni wanaija 😅
Yeah wamependeza sana
Harusi simple .
Active mwenyewe ameenda wapi tena?Dawa ni kuvizia usiku mods wakiwa wamelala
[emoji23][emoji23][emoji1783][emoji1783][emoji1783] ! Sema kweli??
Kantry unachotaka kukifanya sio kizuri kwaherini 🤠🚶🚶🚶🚶🚶[emoji23][emoji23]
Huu mtandao wanauendesha kilokole sanaActive mwenyewe ameenda wapi tena?
Aje tuselfike
Sema ile siku niliteleza kuja kushtuka mambo yako waziUmuone dada Patricia [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya huyo hapo iliofanya watu wakatokwa povu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]