Hebu wekeni picha nyingi nyingi kuliko manenoUliniambia unakaa iwambi kwa wazee na nzovwe kwa sista sasa let's talk about huko kwa wazee ambako ndiko umekulia huko kwa sista si umehamia juzi juzi tu
Teeeeh!Kabisa mimi standard seven nimemaliza 1990
Hapana mkuu.Una neno lolote
Nasubiri pichaHapana mkuu.
Huku forest ya zamani kulikuwa kwa kishua zamani.
Siku hizi hakuna tofauti Sana na mabatini tu
Wewe hesabu ninajua upo vizuri...piga hesabu zako hapo kama 1990 nilikua namaliza standard seven je sahivi nitakua na miaka mingapi?Teeeeh!
Wewe nawe kwa kukosoa vitu vidogo vidogo hahaha
Ahsante doctor, uje unitibu nyumbani
Hebu wekeni picha nyingi nyingi kuliko maneno
Usikimbie embu kwa ajili yangu hata tu basi nione kapicha leo niongeze kwenye device yangu.