Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Basi tupia mguuNdiwoo si tabasamu tu
Basi tupia mguuNdiwoo si tabasamu tu
Long time no see u....![]()
Usinidanganye tena umesikiaWewe
Mkuu mbona unatoa udenda kabla hata hujafikaMaelekezo murua kabisa...shukrani
Kilichobaki ni kuchonga meno tu tayari kwa kutafuna minofu hiyo
Kwahiyo na wewe unataa utafutiwe mkuu,acha banah pambana tu utawapataDah!Msifanye hivo.wengine tunazeeka hatuna hata mmoja.
Afu watu mnaotumia app sijui mkoje![]()
Mnaona vingi kuliko sisi wa browser... Me picha mtu akiweka naona kama attachment, nyie mnaona kama ni ya Snapchat, IMG, screenshot, WA IMG etc



Itakua ni mpenda gambe sanUna mapungufu gani mkuu?
Kule kwetu kumegawanyika sehemu 2.
Kule wanakokaaa wa kishua na huku kwetu changanyikeni![]()
Dawa ya nini hii
Chia seed inasidia nini mkuu
Kuna mtu ofisini ananipaga mbegu za maboga...asee n tamuje
Kuna siku pia nikatafuna ya mronge...woii nilikomaje, vitu vichungu kooni hata havimezeki
Chia seed inasidia nini mkuu
Wewe iwambi unaijua vizuri?Nyoo wadanganye watoto wenzio

Duh sawa doctorDigestion Process