Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona mama, huyo nimeshamzoea na kwa vile ni yeye ameniambia hivyo sishangai siku akiongea lolote zuri kuhusu mimi nishitue.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimeshangaa hata wewe kumuunga mkono
Atoto amesema una matatizo [emoji23]
 
Duh!

Hiyo Ghana naikumbuka sana. Nikiwa mdogo tuliendaga kumsalimia ma mkubwa. Alikuwa anaishi maeneo hayo ya Ghana.

Halafu hata Mwanza kuna Ghana pia.

Chanzo cha hilo jina sijui ni nini tu..??!!
Kwa Mbeya Mjini Ghana/Majengo ilikuwa ni ushuani ya wakati wa Nyerere...

I guess hizo sehemu zimechukua majina toka nchi/maeneo ya Afrika, hata Dar kuna mtaa wa Ghana (ilipo HQ ya Jeshi la Polisi)...
 
Blue Monday ,well spent
20190418_171721.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona mama, huyo nimeshamzoea na kwa vile ni yeye ameniambia hivyo sishangai siku akiongea lolote zuri kuhusu mimi nishitue.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimeshangaa hata wewe kumuunga mkono
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom