Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Nasubiri mpendwaMids wameifuta ngoja niweke ingine
Nasubiri mpendwaMids wameifuta ngoja niweke ingine
Hahahaha aiseeehh nimecheka sana...ni wabishi hao, kuna mmoja umenichagulie eti kati yao...nitajengaje nae maishi kwa ubishi huo...Yaani huwezi amini masaa 3 wanatambiana dodoma, mbeya, Uyole.
😀😀😀😀 ndiookuna nguvu unatafuta?
Huna shida ya mke,mchagua jembe si mkulimaHahahaha aiseeehh nimecheka sana...ni wabishi hao, kuna mmoja umenichagulie eti kati yao...nitajengaje nae maishi kwa ubishi huo...
Karma hukosekani kwenye huu uzi
Nimekupenda bure una masikio mazuri, suti imenichanganya pia.



zimeisha
Usikimbie embu kwa ajili yangu hata tu basi nione kapicha leo niongeze kwenye device yangu.
Nimekupenda bure una masikio mazuri, suti imenichanganya pia.
Nipo kaka sina pa kuenda
😢😢 Najua unaninyima, poa tu nitafanyaje tena😢zimeisha
😀😀 mm sio mtoto aisee, yan mimi kabisa unataka unifananishe na Saint anne wa 99? Sio haki kabisa....afu mimi hakuna kitu nimebisha ila nyie mnaouforce uhenga ndio mnashindwa kutuelewa au sio mzee mwenzangu KarmaAisee Karma, Depal na Saint Anne mnajua kubishana tukiandika bado watoto mnakataa.
😀😀Yaani huwezi amini masaa 3 wanatambiana dodoma, mbeya, Uyole.
Aisee Karma, Depal na Saint Anne mnajua kubishana tukiandika bado watoto mnakataa.






Yaani huwezi amini masaa 3 wanatambiana dodoma, mbeya, Uyole.
Yes au unasemaje
Wewe nako kazururajiiii![]()
Mimi sina maneno eti
Pages za juuuuuu nina picha yangu nilipost
Wala hata ila basi tu huwa napenda kusikia kelele za aina yoyote ile