Uzi mmeugeuza wa mabishano sio.
Umenikumbusha uliniahidi leo mpendwaWaweke picha
Umenikumbusha uliniahidi leo mpendwa
Wambie waweke picha kwanza..Aisee Karma, Depal na Saint Anne mnajua kubishana tukiandika bado watoto mnakataa.
Ulinambia utaweka picha leo 😁😀😀 lini
Yaani huwezi amini masaa 3 wanatambiana dodoma, mbeya, Uyole.Wambie waweke picha kwanza..
Ulinambia utaweka picha leo 😁
Nitag kwenye hiyo pichaMbona nshaweka angalia reply za juu
Nitag kwenye hiyo picha
Sipendi uwongo mimi kumbe napeluzi kutafuta unadanganyaWakati nikiendelea kuitafta naomba uweke nawe yako
Sipendi uwongo mimi kumbe napeluzi kutafuta unadanganya
Yes au unasemajeHahahaha au siyo??
Mimi sina maneno etiHalafu ujue wewe ndiyo una maneno mingi kuliko picha eti??
Teheeeee!Wewe hesabu ninajua upo vizuri...piga hesabu zako hapo kama 1990 nilikua namaliza standard seven je sahivi nitakua na miaka mingapi?
Pages za juuuuuu nina picha yangu nilipostHalafu ujue wewe ndiyo una maneno mingi kuliko picha eti??
Sawa.Nasubiri picha